Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

JCPOA

  • Lengo la Tehran kushiriki vikao vya Vienna ni kutaka kuondolewa Iran vikwazo vyote haramu

    Lengo la Tehran kushiriki vikao vya Vienna ni kutaka kuondolewa Iran vikwazo vyote haramu

    Nov 18, 2021 23:36

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema lengo kuu la Tehran kushiriki mazungumzo ya Vienna kuhusu mapatano ya nyuklia ya JCPOA yanayotazamiwa kuanza mwishoni mwa mwezi huu ni kuhakikisha kuwa taifa la Iran linaondolewa vikwazo vyote haramu.

  • Iran: Tuna nia njema tunapoingia kwenye mazungumzo ya Vienna

    Iran: Tuna nia njema tunapoingia kwenye mazungumzo ya Vienna

    Nov 14, 2021 04:48

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi hii ina azma na nia njema inapojiandaa kuingia katika duru mpya ya mazungumzo ya Vienna kuhusu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • "Iran inataka 'makubaliano mazuri' katika mazungumzo ya Vienna"

    Nov 11, 2021 04:43

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taifa hili limejiandaa kwa ajili ya kufikiwa 'makubaliano mazuri' katika mazungumzo ya Vienna kuhusu mapatano ya nyuklia ya JCPOA, yanayotazamiwa kuanza mwishoni mwa mwezi huu.

  • Waziri: Mafanikio ya mazungumzo ya Vienna yanategemea kuondolewa vikwazo vyote Iran

    Waziri: Mafanikio ya mazungumzo ya Vienna yanategemea kuondolewa vikwazo vyote Iran

    Nov 09, 2021 04:49

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kufanikiwa mazungumzo ya mjini Vienna, Austria kuhusu makubaliano ya JCPOA kutategemea na kuondolewa vikwazo vyote Iran, sambamba na kuifanya ya kawaida miamala ya kibiashara na Tehran.

  • Khatibzadeh: Kwa kuondoka Marekani nchini Iraq, amani na usalama wa nchi hiyo utapatikana

    Khatibzadeh: Kwa kuondoka Marekani nchini Iraq, amani na usalama wa nchi hiyo utapatikana

    Nov 08, 2021 07:55

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, endapo Marekani itaondoka nchini Iraq, amani na uthabiti wa nchi hiyo ya Kiarabu utapatikana.

  • Madai ya White House: Tutarejea katika mapatano ya JCPOA iwapo Iran itafanya hivyo

    Madai ya White House: Tutarejea katika mapatano ya JCPOA iwapo Iran itafanya hivyo

    Nov 08, 2021 04:37

    Jake Sullivan Mshauri wa Usalama wa Taifa wa serikali ya Marekani kulingana na madai ya Washington kwa mara nyingine tena amedai kuwa eti kama Iran itarejea katika mapatano ya JCPOA nayo pia itafanya hivyo.

  • Iran: Kundi la 4+1 liwe tayari kwa mazungumzo yatakayoheshimu haki

    Iran: Kundi la 4+1 liwe tayari kwa mazungumzo yatakayoheshimu haki

    Nov 02, 2021 11:11

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kundi la 4+1 lililosalia katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA linapaswa kujiandaa kwa mazungumzo ya kuhuisha mapatano hayo ya kimataifa, kwa kuzingatia na kuheshimu misingi ya haki na maslahi ya pande zote.

  • Pelosi atetea makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, amkosoa Yair Lapid

    Pelosi atetea makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, amkosoa Yair Lapid

    Oct 22, 2021 20:51

    Spika wa Kongresi ya Marekani ametetea makubaliano ya nyuklia ya JCPOA baina ya Iran na nchi za kundi la 5+1 katika mazungumzo yake na Waziri wa Mambo ya Nje wa utawla haramu wa Israel mjini Washington.

  • Iran: Mabadilishano ya wafungwa yasihusishwe na mazungumzo ya JCPOA

    Iran: Mabadilishano ya wafungwa yasihusishwe na mazungumzo ya JCPOA

    Oct 19, 2021 09:58

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran inalitazama suala la kubadilishana wafungwa kuwa la kibinadamu, na haitaki kuona likifungamanishwa na mazungumzo ya nyuklia ya JCPOA.

  • Iran: Mazungumzo yajayo ya Vienna sharti yawe na tija ya maana

    Iran: Mazungumzo yajayo ya Vienna sharti yawe na tija ya maana

    Oct 06, 2021 09:37

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema duru ijayo ya mazungumzo ya Vienna yanayolenga kuhuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA inapasa iwe na matokeo ya maana na yenye kutekelezeka.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS