Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

JCPOA

  • Madai ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumaini kuhusu JCPOA

    Madai ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumaini kuhusu JCPOA

    May 27, 2019 22:42

    Umoja wa Ulaya na troika ya umoja huo inayoundwa na Ujerumani, Ufaransa na Uingereza daima imekuwa ikidai kuwa inaunga mkono mapatano ya nyuklia na Iran maarufu kwa jina la JCPOA na kwmba nchi hizo zimekuwa zikisisitizia muda wote umuhimu wa kutekelezwa kivitendo mapatano hayo.

  • Rais Rouhani: Iran bila shaka itapata ushindi katika makabiliano na Marekani

    Rais Rouhani: Iran bila shaka itapata ushindi katika makabiliano na Marekani

    May 26, 2019 01:50

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria mashinikizo ya kisiasa na kiuchumi ya Marekani dhidi ya Iran ya Kiislamu na kusema: "Taifa la Iran halijawahi na halitasalimu amri mbele ya mashinikizo."

  • Takht-Ravanchi: Marekani ilikiuka wazi sheria za kimataifa kwa kujiondoa JCPOA

    Takht-Ravanchi: Marekani ilikiuka wazi sheria za kimataifa kwa kujiondoa JCPOA

    May 25, 2019 02:20

    Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kujiondoa Marekani katika mpatano ya nyuklia ya JCPOA ni ukiukwaji wa wazi wa sheria za kimataifa hasa azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

  • Matusi ya Trump dhidi ya taifa la Iran, mgongano katika misimamo ya Washington

    Matusi ya Trump dhidi ya taifa la Iran, mgongano katika misimamo ya Washington

    May 24, 2019 23:02

    Baada ya kuingia Ikulu ya White House mnamo mwezi Januari 2017, Rais Donald Trump wa Marekani bila kupoteza wakati ilichukua msimamo wa kudhoofisha na ikiwezekana kuuangusha mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Sisitizo la viongozi wa Russia, Ujerumani na Ufaransa la kulindwa mapatano ya JCPOA

    Sisitizo la viongozi wa Russia, Ujerumani na Ufaransa la kulindwa mapatano ya JCPOA

    May 22, 2019 05:18

    Mapatano ya nyuklia yanayojulikana kwa jina la JCPOA yalifikiwa mwezi Julai 2015 mjini Vienna Austria baina ya Iran na kundi la 5+1 lililojumuisha nchi za Marekani, Uingereza, Ufaransa, Russia, China pamoja na Ujerumani na Umoja wa Ulaya. Mapatano hayo yalianza kutekelezwa mwezi Januari 2016.

  • Russia, Ujerumani na Ufaransa zasisitiza kuwa JCPOA lazima ilindwe

    Russia, Ujerumani na Ufaransa zasisitiza kuwa JCPOA lazima ilindwe

    May 22, 2019 03:46

    Viongozi wa Russia, Ujerumani na Ufaransa wamesisitizia haja ya kubakishwa hai na kulindwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, huku wakibainisha kuwa nchi zao zinafanya kila linalowezekana kuimarisha uhusiano wao wa kibiashara na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, licha ya Marekani kuchukua hatua ya upande mmoja ya kujiondoa kwenye mapatano hayo ya kimataifa.

  • Sisitizo la Ujerumani la kutokuwa na natija siasa za

    Sisitizo la Ujerumani la kutokuwa na natija siasa za "mashinikizo ya kiwango cha juu zaidi" za Donald Trump dhidi ya Iran

    May 19, 2019 02:34

    Rais Donald Trump wa Marekani iwe ni katika kipindi cha kampeni zake za uchaguzi au baada ya kuingia katika ikulu ya White House Januari 2017, ametanguliza mbele mkondo wa siasa za kutaka kuudhoofisha na kuuangusha mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Sisitizo la Rais Putin la kuwa wazi kusiko na mithili miradi ya nyuklia ya Iran

    Sisitizo la Rais Putin la kuwa wazi kusiko na mithili miradi ya nyuklia ya Iran

    May 16, 2019 21:59

    Makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) yalitiwa saini Julai 2015 huko Vienna Austria kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kundi la 5+1.

  • Safari ya Pompeo Russia: Jitihada zilizofeli za kupunguza hitilafu baina ya Washington na Moscow

    Safari ya Pompeo Russia: Jitihada zilizofeli za kupunguza hitilafu baina ya Washington na Moscow

    May 15, 2019 22:04

    Uhusiano wa Marekani na Russia katika zama za baada ya vita baridi umekumbwa na pandashuka nyingi sana. Pamoja na hayo mgogoro wa Ukraine mwaka 2014, na baada ya hapo, yaani katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, uhusiano wa Moscow na Washington umechukua mkondo wa kuzorota na hali imekuwa mbaya zaidi baada ya Marekani kuiwekea Russia vikwazo.

  • Mkutano wa Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Umoja wa Ulaya na sisitizo la kutekelezwa makubaliano ya JCPOA

    Mkutano wa Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Umoja wa Ulaya na sisitizo la kutekelezwa makubaliano ya JCPOA

    May 14, 2019 21:47

    Umoja wa Ulaya na Troika ya Ulaya (Ujerumani, Ufaransa na Uingereza) daima zimekuwa zikiunga mkono makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kusisitiza kutekelezwa kwake.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS