Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

JCPOA

  • Federica Mogherini: Hatua ya kwanza ya mfumo wa INSTEX itaanza wiki chache zijazo

    Federica Mogherini: Hatua ya kwanza ya mfumo wa INSTEX itaanza wiki chache zijazo

    May 14, 2019 00:00

    Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya, Bi Federica Mogherini sambamba na kusisitiza juu ya Umoja wa Ulaya kufungamana na utekelezeaji wa mapatano ya nyuklia JCPOA, ameonyesha matumaini kwamba hatua ya kwanza ya mfumo maalumu wa kifedha wa Ulaya na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (INSTEX) itaanza kutekelezwa wiki chache zijazo.

  • Kharrazi: Madola ya Ulaya yanapaswa kuonyesha 'irada' ya kulindwa makubaliano ya JCPOA

    Kharrazi: Madola ya Ulaya yanapaswa kuonyesha 'irada' ya kulindwa makubaliano ya JCPOA

    May 12, 2019 23:08

    Mkuu wa Baraza la Kistratijia la Uhusiano wa Nje la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, madola ya Ulaya yanaweza kuonyesha nia na irada yao ya kutaka kuhifadhiwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kwa kutekeleza ahadi zake kama kutekelezwa haraka mfumo maalumu wa kifedha wa Ulaya na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (INSTEX).

  • HAMAS: Uamuzi wa Iran kuhusu JCPOA ni wa kishujaa

    HAMAS: Uamuzi wa Iran kuhusu JCPOA ni wa kishujaa

    May 10, 2019 21:48

    Mwakilishi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Palestina (HAMAS) nchini Lebanon amesema kuwa, hatua ya Iran ya kusitisha kwa muda utekelezaji wa ahadi zake katika baadhi ya vipengee vya mapatano ya nyuklia ya JCPOA, inaonyesha kuwa ni maamuzi ya kishujaa.

  • Taarifa ya Ulaya kuhusu hatua ya Iran; ulazima wa kutekelezwa ahadi badala ya kudhihirishwa masikitiko

    Taarifa ya Ulaya kuhusu hatua ya Iran; ulazima wa kutekelezwa ahadi badala ya kudhihirishwa masikitiko

    May 10, 2019 21:46

    Baada ya Marekani kutangaza kujitoa katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia, JCPOA, mnamo tarehe 8 Mei mwaka uliopita, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilitaraji kwamba kundi la 4+1 na hasa troika ya Ulaya na Umoja wa Ulaya, lingechukua hatua za kupunguza madhara ya Marekani kuanza kutekeleza tena vikwazo vya nyuklia dhidi ya Iran.

  • Wairan waandamana nchi nzima kuunga mkono hatua za nchi yao kuhusu mapatano ya JCPOA

    Wairan waandamana nchi nzima kuunga mkono hatua za nchi yao kuhusu mapatano ya JCPOA

    May 10, 2019 09:00

    Wananchi wa Iran ya Kiislamu leo Ijumaa wameandamana nchi nzima kuunga mkono hatua zilizochukuliwa humu nchini za kusimamisha utekelezaji wa baadhi ya ahadi za Tehran katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Ulaya na Marekani zaendelea kukosoa hatua za Trump dhidi ya mapatano ya JCPOA

    Ulaya na Marekani zaendelea kukosoa hatua za Trump dhidi ya mapatano ya JCPOA

    May 09, 2019 23:28

    Wanasiasa na waharakati wa makundi ya kiraia barani Ulaya na nchini Marekani wameendelea kukosoa hatua za White House dhidi ya mapatano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Iran, hatua ya 'mashinikizo ya kiwango cha juu zaidi'

    Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Iran, hatua ya 'mashinikizo ya kiwango cha juu zaidi'

    May 09, 2019 23:26

    Baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kutangaza kuiondoa nchi hiyo katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia mashuhuri kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA mnamo tarehe 8 Mei mwaka uliopita, alianza kutekeleza vikwazo vya nyuklia dhidi ya Iran katika hutua mbili yaani mwezi Agosti na Novemba mwaka huo huo.

  • Radiamali ya Umoja wa Ulaya kuhusu maamuzi ya Iran, matarajio ya kulindwa JCPOA bila kutolewa fursa

    Radiamali ya Umoja wa Ulaya kuhusu maamuzi ya Iran, matarajio ya kulindwa JCPOA bila kutolewa fursa

    May 09, 2019 02:47

    Mapatano ya nyuklia maarufu kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA yalifikiwa mjini Vienna mwezi Julai 2015 kati ya Iran na kundi la 5+1, huku utekelezaji wake ukiwa ulianza mwezi Januari 2016.

  • China, Russia, Ufaransa na Ujerumani zatoa radiamali zao kufuatia tangazo la Iran

    China, Russia, Ufaransa na Ujerumani zatoa radiamali zao kufuatia tangazo la Iran

    May 08, 2019 09:20

    Russia, China, Ufaransa na Ujerumani ambazo ni katika nchi tano zilizosalia katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA zimetoa radimali kufuatia uamuzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wa kusimamisha kwa muda utekelezaji wa baadhi ya ahadi zake kuhusu mapatano hayo, ikiwa ni mwaka mmoja baada ya Marekani kujitoa kwa upande mmoja katika mapatano hayo muhimu ya kimataifa.

  • Larijani: Hatua zinazochukuliwa na Marekani dhidi ya Iran zinaonesha kuchanganyikiwa Washington

    Larijani: Hatua zinazochukuliwa na Marekani dhidi ya Iran zinaonesha kuchanganyikiwa Washington

    May 05, 2019 03:08

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kuwa hatua zinazochukuliwa na Marekani dhidi ya Iran zinaonesha kuchanganyikiwa viongozi wa nchi hiyo na hawajui cha kufanya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS