-
Mshauri wa Bashar al-Assad: Wamarekani wamekimbia Syria
Dec 23, 2018 23:20Mshauri wa kisiasa na wa masuala ya habari wa Rais wa Syria amesema kuhusu hatua ya wanajeshi wa Marekani kuondoka nchini humo kwamba: Wamarekani wamekimbia, kwa sababu sisi tumesimama imara.
-
Hizbullah Iraq: Kuondoka Marekani syria ni ishara ya kushindwa Washington
Dec 22, 2018 21:39Harakati ya Hizbullah ya Iraq imetangaza kuwa, kuondoka kwa majeshi ya Marekani nchini Syria kuna maana ya kushindwa stratijia za jeshi la nchi hiyo.
-
Zaidi ya asilimia 54 ya askari wa Israel wanatumia madawa ya kulevya ili 'kujisahaulisha' na uhalisia unaowakabili
Dec 22, 2018 04:32Gazeti la Kizayuni la Yedioth Ahronoth limeripoti kuwa umegunduliwa mtandao wa magendo ya mihadarati na usambazaji wa madawa hayo ya kulevya unaofanywa na askari wa Israel kwenye mipaka ya kaskazini ya eneo la Ukanda wa Gaza.
-
Jeshi la Cameroon laua wanachama 7 wa kundi linalotaka kujitenga
Dec 18, 2018 23:20Jeshi la Cameroon limetangaza habari ya kuua wanachama saba wa waasi wa Ambazonia katika mji wa Bamenda, katika eneo lenye wazungumzaji wengi wa Kiingereza la kusini magharibi mwa nchi hiyo.
-
Wazayuni wakiri: Jeshi la Israel halina ubavu wa kuingia katika vita vipya
Dec 14, 2018 23:10Afisa mmoja mwandamizi wa jeshi la utawala wa Kizayuni amekiri kuwa Israel haina uwezo wa kuingia kwenye vita vyengine vipya.
-
Uwezo wa Jeshi la Majini la Iran kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu
Nov 29, 2018 03:45Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu wa vikosi vyote vya ulinzi vya Iran jana alikutana na makamanda na wakuu wa Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusema kumepatikana mafanikio makubwa katika Jeshi la Iran hasa jeshi la majini tokea mwanzo wa Mapinduzi ya Kiislamu hadi sasa.
-
Uganda yatuma askari Tanzania katika mazoezi ya kijeshi ya Afrika Mashariki
Nov 02, 2018 02:34Uganda imetuma askari na raia 219 kushiriki kwenye mazoezi ya kijeshi ya pamoja ya Jumuiya ya Afrika Mashariki nchini Tanzania.
-
"Uwezo wa kujihami Iran ni kwa maslahi ya kuzuia vita Mashariki ya Kati"
Oct 26, 2018 11:49Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema stratijia ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ya kuimarisha uwezo wake wa kujihami ni kwa shabaha ya kuzuia vita katika eneo hili la Mashariki ya Kati.
-
Vyombo vya habari vyafichua nafasi ya Ufaransa katika mauaji ya kimbari ya Rwanda
Oct 26, 2018 04:45Vyombo vya habari vimefichua picha za video zinazoonesha waziwazi nafasi ya Ufaransa katika mauaji ya kimbari yaliyofanyika Rwanda mwaka 1994.
-
OCHA: Yemen inakabiliwa na hali mbaya ya baa la njaa
Oct 24, 2018 04:22Ofisi ya Uratibu ya Umoja wa Mataifa Inayoshughulikia Masuala ya Kibinaadamu (OCHA) imetangaza kuwa, nchi ya Yemen inakabiliwa na hali mbaya ya baa la njaa.