-
UN: Jeshi la Mali liliua raia12 katika ulipizaji kisasi
Jun 27, 2018 09:50Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa nchini Mali MINUSMA kimesema wanajeshi wa serikali ya nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika waliuawa raia 12 katika operesheni ya kulipiza kisasi mwezi uliopita, baada ya mwenzao kuuawa katika mazingira ya kutatanisha.
-
Ndege za kivita za Marekani zawasaidia makamanda wa Daesh Syria
Jun 25, 2018 23:51Ndege za kivita za muungano eti wa kimataifa dhidi ya kundi la kigaidi la Daesh unaoongozwa na Marekani zimewasafarisha makamanda wawili wa kundi la kigaidi la Daesh kutoka eneo a Tuimin hadi katika kituo cha Marekani kilichoko katika mji wa al Shaddadah mkoani Hasakah nchini Syria.
-
Jeshi la Syria lazingira ngome ya jeshi vamizi la Marekani katika mpaka wa Iraq
Jun 22, 2018 09:37Sambamba na operesheni ya kuyasafisha maeneo mapana ya jangwa la Syria, hasa eneo la al-Badiya kutoka mikononi mwa mabaki ya wanachama wa genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS), jeshi la Syria limezingira ngome ya askari vamizi wa Marekani katika eneo la al-Tanf lililopo katika mpaka wa nchi hiyo na Iraq.
-
Jeshi la Mali latuhumiwa kuua makumi ya raia
Jun 20, 2018 03:02Makundi ya kiraia nchini Mali yamedai kuwa jeshi la nchi hiyo limeua makumi ya raia katika eneo la Mopti, katikati mwa nchi.
-
Jeshi la Madagascar latishia 'kuzima mgogoro wa kisiasa'
Jun 01, 2018 09:16Waziri wa Ulinzi wa Madagascar ametishia kuwa, ikilazimu, jeshi la nchi hiyo litaingilia kati iwapo serikali na upinzani zitashindwa kuupatia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa unaoshuhudiwa nchini humo kwa muda sasa.
-
Syria: Kunaandaliwa mazingira ya kubuni igizo la shambulio la kemikali mashariki mwa Furat
May 30, 2018 23:12Kamisheni ya taifa nchini Syria inayoshughulikia utekelezwaji wa makubaliano ya kuzuia silaha za kemikali, imeonya juu ya kuandaliwa igizo la kubuni la shambulio la silaha hizo katika moja ya maeneo yanayodhibitiwa na wanamgambo wa Kikurdi wa 'Syrian Democratic Forces' kwa kushirikiana na askari wa Marekani, mashariki mwa mto Furat nchini humo.
-
Msafara wa magari ya jeshi washambuliwa Somalia, 12 waripotiwa kuuawa
May 22, 2018 09:15Kwa akali askari 12 wa Jeshi la Somalia wameripotiwa kuuawa katika shambulio la bomu lililolenga msafara wa magari ya jeshi hilo katika wilaya ya Wanaweyn, yapata kilomita 30 kaskazini mashariki mwa mji mkuu Mogadishu.
-
Jeshi la Syria lafanikiwa kudhibiti barabara zote za mawasiliano za nchi hiyo
May 18, 2018 03:26Sambamba na kuondoka magaidi eneo la kaskazini mwa mkoa wa Homs na kusini mwa mkoa wa Hama na kadhalika kufunguliwa barabara ya mkoa wa Homs kuelekea Damascus, mji mkuu wa Syria, jeshi la serikali limefanikiwa kudhibiti barabara zote zinazoiunganisha nchi hiyo.
-
Magaidi wa genge la Daesh na Jaishul-Hur washambuliana vikali kusini mwa Syria
May 14, 2018 22:11Magaidi wa makundi ya ukufurishaji ya Daesh (ISIS) na kundi la Jeishul-Hur (Jeshi huru), wameshambuliana vikali magharibi mwa mkoa wa Daraa, nchini Syria na kusababisha maafa makubwa kati yao.
-
Magaidi 21 waangamizwa Rasi ya Sinai nchini Misri
May 10, 2018 09:17Jeshi la Misri limetangaza habari ya kuangamizwa magaidi 21 katika operesheni ya pamoja iliyofanywa na jeshi na polisi wa nchi hiyo katika Rasi ya Sinai.