-
Vikosi maalum vya Ufaransa vyaingia Benghazi, Libya
Feb 24, 2016 04:08Vikosi maalumu vya Ufaransa vimewasili Benghazi, Libya kumuunga mkono Brigedia Jenerali Khalifa Haftar.
-
Kuendelea mashambulio ya Saudia nchini Yemen
Feb 20, 2016 02:29Ndege za kivita za jeshi la Saudi Arabia, kwa mara nyingine tena zimefanya mashambulizi ya kikatili katika mji mkuu wa Yemen San'a na kuua kwa umati raia wa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Iran yazindua makombora ya kisasa ya 'Nasr'
Feb 09, 2016 23:53Wizara ya Ulinzi ya Iran imelikabidhi Jeshi la Anga la Jamhuri ya Kiislamu shehena ya kwanza ya makombora ya kisasa ya anga yakulikanayo kwa jina la 'Nasr' au Ushindi.