-
Amiri Jeshi Mkuu Iran amteua kamanda mpya wa kikosi cha Quds cha IRGC
Jan 04, 2020 02:50Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Khamenei ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu wa Iran amemteua Brigedia Jenerali Esmail Qaani kuwa kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).
-
IRGC yaahidi hatua kali ya kulipiza kisasi baada ya kuuawa shahidi Soleimani
Jan 04, 2020 02:49Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu limetuma salamu za rambirambi kufuatia kuuawa shahidi Meja Jenerali Qassem Suleimani Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) na mashahidi wengine katika jinai ya Marekani Ijumaa asubuhi mjini Baghdad na kusisitiza kuhusu kulipiza kisasi kufuatia jinai hiyo.
-
Kuuawa shahidi Meja Jenerali Qassim Solaimani; ahadi ya kweli iliyotimia
Jan 04, 2020 02:39Meja Jenerali, Qassim Solaimani, Meja Jenerali shahidi Qassim Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (SEPAH), aliuawa shahidi usiku wa kuamkia jana Ijumaa katika shambulio la roketi lililofyatuliwa na helikopta ya Marekani katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Baghdad mji mkuu wa Iraq.
-
SAUTI, Fadhil Al-Nusr Muhadhiri Chuo Kikuu Tanzania: Qassem Soleimani hakuwa tu kamanda wa kijeshi bali alikuwa mlezi mkubwa wa kiroho
Jan 03, 2020 16:12Dunia imeendelea kutoa radiamali yake kutokana na kuuawa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (Sepah) Meja Jenerali Qassem Solaimani aliyeuawa shahidi kigaidi na helikopta ya kijeshi ya Marekani katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa mjini Baghdad nchini Iraq mapema leo asubuhi.
-
SAUTI, Mansour Amr wa Kongo DR: Qassem Soleimani alikuwa zaidi ya makamanda duniani, hakusema kwa maneno bali kwa vitendo
Jan 03, 2020 14:46Dunia imegubikwa na huzuni kubwa ya kuuawa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (Sepah) Meja Jenerali Qassem Solaimani aliyeuawa shahidi kigaidi na helikopta ya kijeshi ya Marekani katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa mjini Baghdad nchini Iraq mapema leo asubuhi.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Wamarekani katu hawatapata amani
Jan 03, 2020 12:37Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran ameashiria juu ya kuuliwa shahidi Meja Jenerali Qassim Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) na kusisitiza kuwa, Wamarekani katu hawataonja tena ladha ya amani popote duniani kufuatia ukatili huo.
-
Bei za mafuta na dhahabu zapanda duniani kufuatia mauaji ya Jenerali Soleimani
Jan 03, 2020 12:15Bei za mafuta na dhahabu katika soko la kimataifa kote duniani zimepanda kufuatia kuuliwa shahidi Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran, Meja Jenerali Qassem Soleimani.
-
Kuuawa shahidi Meja Jenerali Qassim Solaimani; mfano wa wazi wa jinai za kivita za Marekani
Jan 03, 2020 11:53Meja Jenerali Qassim Solaimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) na Abu Mahdi al Muhandes, Naibu Mkuu wa Kikosi cha Kujitolea cha Wananchi wa Iraq cha al-Hashdul al-Shaabi, wameuawa shahidi usiku wa kuamkia Ijumaa ya leo katika shambulio la roketi lililofyatuliwa na helikopta ya Marekani katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Baghdad mji mkuu wa Iraq.
-
Joe Biden amkosoa vikali Trump kwa kutoa amri ya kuuliwa Jenerali Soleimani
Jan 03, 2020 08:35Joe Biden ambaye ni miongoni ma wanasiasa wa chama cha Democratic wanaochuana kupata tiketi ya kuwakilisha chama hicho katika uchaguzi ujao wa rais utakaofanyika mwaka huu nchini Marekani amemkosoa vikali Rais Donald Trump kwa kutoa amri ya kuuliwa shahidi Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran, Meja Jenerali Qassem Soleimani.
-
Msemaji wa jeshi la SEPAH: Furaha ya Marekani na Israel itageuka kuwa maombolezo
Jan 03, 2020 08:21Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH, huku akiomboleza kuuawa shahidi Meja Jenerali Qassim Soleimani, Kamanda wa kikosi cha Quds cha jeshi hilo amesisitiza kwamba furaha ya muda mfupi ya Wamarekani na Wazayuni itageuka kuwa maombolezo hivi karibuni.