-
Makundi ya Muqawama yaishukuru na kuipongeza Iran kwa kutekeleza Operesheni Ahadi ya Kweli 2
Oct 02, 2024 05:36Makundi ya Muqawama yamepongeza jibu kali lililotolewa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa utawala wa Kizayuni kufuatia Operesheni Ahadi ya Kweli 2 na kutekelezwa kwa mafanikio shambulio la makombora la Iran katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na kulenga shabaha zilizokusudiwa kwa asilimia 90 ya makombora yaliyorushwa na vikosi vya ulinzi vya Iran.
-
Vibara 80 wa Saudia wauawa nchini Yemen
Mar 20, 2016 23:04Jeshi la Yemen limetangaza kuwa limetoa pigo kubwa na kuwashinda vibaraka wa Saudi Arabia katika eneo la Taiz na kuua 80 miongoni mwao licha ya kusaidiwa na ndege za kivita za utawala wa kifalme wa Aal Saud na washirika wao.