-
Misri na Cameroon kumenyana katika fainali ya kombe la mataifa ya Afrika
Feb 03, 2017 04:20Timu ya taifa ya soka ya Cameroon imeitandika Ghana mabao mawili kwa nunge katika mchezo wa nusu fainali wa kombe la Mataifa ya Afrika na hivyo kujikatia tiketi ya kucheza fainali ya mashindano hayo yanayofanyika nchini Gabon.