-
Wanachama wa kitakfiri wa Taleban wapambana vikali na magaidi wa ISIS Afghanistan
Oct 20, 2016 00:57Viongozi wa serikali katika mkoa wa Jowzjan, kaskazini mwa Afghanistan wametangaza kujiri mapigano makali baina ya wanachama wa kundi la kigaidi la Taleban na lile la Daesh (ISIS) yote ya Kiwahabi mkoani hapo.
-
Rais Ghani: Maulama wa Kisuni na Kishia wapaze sauti kupinga mauaji ya kigaidi
Sep 14, 2016 10:54Rais Ashraf Ghani wa Afghanistan amewataka wasomi na maulama wa nchi hiyo kupaza sauti zao kupinga mauaji ya kigaidi dhidi ya raia na watoto wadogo nchini humo.
-
Watu 73 wauawa katika ajali mbaya ya barabarani nchini Afghanistan
May 08, 2016 23:03Kwa akali watu 73 wamepoteza maisha yao na wengine kujeruhiwa vibaya kufuatia ajali ya barabarani iliyotokea katika mkoa wa Ghazni nchini Afghanistan.