-
Raisi: Kushindwa kwa Wazayuni katika operesheni ya nchi kavu ni kukubwa kuliko kushindwa katika operesheni ya Kimbunga ya Al-Aqsa
Oct 29, 2023 14:51Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutaja kushindwa kwa Wazayuni katika operesheni ya nchi kavu huko Ghaza kuwa ni kukubwa zaidi kuliko kipigo na kushindwa kwake katika operesheni ya Kimbunga ya Al-Aqsa.
-
Kubainishwa misimamo ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusiana na vita vya Gaza
Oct 25, 2023 07:49Siku 19 zimepita tangu kilipoanza Kimbunga cha Al-Aqsa na vita vya utawala wa Kizayuni dhidi ya Ukanda wa Gaza. Suali muhimu la kujiuliza hapa ni je, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa na msimamo gani kuhusiana na vita hivi na imechukua hatua gani?
-
Kurejea mitaani waandamanaji kumpinga Netanyahu
Oct 23, 2023 04:34Wakazi wa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu zilizopachikwa jina bandia la Israel, kwa mara nyingine wamemiminika mitaani kushinikiza kujiuzulu waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu.
-
Mauaji ya umati ya Wapalestina, mkakati wa utawala wa Kizayuni wa kufunika kushindwa kubwa
Oct 18, 2023 12:17Utawala wa Kizayuni ambao ulipata mshtuko mkubwa kwa kushindwa na kufedheheshwa kijeshi katika operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa, unatekeleza mauaji ya umati dhidi ya Wapalestina ili kufidia kushindwa huko.
-
Kuendelea uungaji mkono wa jamii ya kimataifa hususan nchi za Kiislamu kwa wananchi wa Gaza
Oct 18, 2023 02:28Sambamba na kupita zaidi ya siku kumi tangu utawala wa Kizayuni wa Israel uanze kufanya jinai dhidi ya wananchi wa Gaza, himaya na uungaji mkono wa kimataifa kwa watu wa Gaza na wanamapambano wa Palestina nao unaendelea.
-
Balozi wa Israel atimuliwa Colombia kulalamikia jinai za Wazayuni Ukanda wa Ghaza
Oct 17, 2023 06:02Duru mbalimbali za habari zimetangaza usiku wa kuamkia leo Jumanne kwamba, nchi ya Colombia ya Amerika ya Latini imemtimua balozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel ikiwa ni kulalamikia jinai za utawala huo dhidi ya wananchi wasio na ulinzi wa Ghaza.