Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kombe la Dunia Qatar 2022

  • Kombe ya Dunia: Morocco yaandika historia; timu ya kwanza ya Afrika kutinga nusu fainali

    Kombe ya Dunia: Morocco yaandika historia; timu ya kwanza ya Afrika kutinga nusu fainali

    Dec 11, 2022 14:46

    Timu ya soka ya taifa ya Morocco imekuwa timu ya kwanza ya Afrika kusonga mbele katika nusu fainali ya Kombe la Dunia kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ureno na kumuacha gwiji wa soka Cristiano Ronald na wenzake wakigaragara kwa vilio na majonzi.

  • Kandanda: Croatia na Argentina zatinga nusu fainali ya Kombe la Dunia

    Kandanda: Croatia na Argentina zatinga nusu fainali ya Kombe la Dunia

    Dec 10, 2022 11:02

    Timu za taifa za soka za Croatia na Argentina zimetinga hatua ya nusu fainali ya michuano yasoka ya Kombe la Dunia inayoendelea nchini Qatar baada ya kuibuka na ushindi kwenye mechi mbili za kwanza za robo fainali.

  • Hizbullah yaipongeza timu ya soka ya Morocco kwa kuinyuka Uhispania na kuinua bendera ya Palestina

    Hizbullah yaipongeza timu ya soka ya Morocco kwa kuinyuka Uhispania na kuinua bendera ya Palestina

    Dec 07, 2022 13:52

    Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sheikh Naim Qassem ametuma ujumbe kwenye mtandao wa kijamii wa "Twitter" ambapo ameipongeza Morocco kwa ushindi wa timu ya kandanda ya nchi hiyo dhidi ya Uhispania hiyo jana na kufuzu kuingia robo fainali ya mechi za Kombe la Dunia zinazoendelea nchini Qatar.

  • Morroco yaigaragaza Uhispania na kujiandikia historia ya Kombe la Dunia

    Morroco yaigaragaza Uhispania na kujiandikia historia ya Kombe la Dunia

    Dec 07, 2022 13:38

    Timu ya taifa ya soka ya Morocco imepata ushindi mkubwa kwa kuwaondoa Uhispania kwa mikwaju ya penalti baada ya kutaka sare ya kutofungana.

  • Ripoti: Harakati ya kutetea ushoga iliibua tatizo kubwa ndani ya timu ya taifa ya Ujerumani huko Qatar

    Ripoti: Harakati ya kutetea ushoga iliibua tatizo kubwa ndani ya timu ya taifa ya Ujerumani huko Qatar

    Dec 07, 2022 03:12

    Harakati ya "kuziba midomo" iliyofanywa na wachezaji wa timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Ujerumani kwenye mechi yao ya ufunguzi katika Kombe la Dunia 2022 huko Qatar dhidi ya Japan, ilisababisha matatizo ndani ya kambi ya timu hiyo, na kuibua tofauti kati ya wachezaji ambao walikataa kushiriki kwenye kampeni ya kutetea ushoga.

  • Palestina yaendelea kuungwa mkono katika mashindano ya Kombe la Dunia, Qatar

    Palestina yaendelea kuungwa mkono katika mashindano ya Kombe la Dunia, Qatar

    Dec 06, 2022 07:49

    Moja ya matukio yenye kuvutia katika mashindano ya Soka ya Kombe la Dunia huko Qatar ni kitendo cha watazamaji kutoka nchi mbalimbali kuiunga mkono Palestina mkabala wa utawala wa Kizayuni.

  • Kombe la Dunia; mwanajeshi Mzayuni akimbia haraka Qatar baada ya kugunduliwa uhakika wake

    Kombe la Dunia; mwanajeshi Mzayuni akimbia haraka Qatar baada ya kugunduliwa uhakika wake

    Dec 04, 2022 11:41

    Mwanajeshi mmoja Mzayuni aliyejipenyeza nchini Qatar kwa sura bandia ya msanii wa vichekesho, amekimbia haraka nchini humo baada ya Mpalestina mmoja kumgundua na kufichua uhakika wake kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter.

  • Kombe la Dunia Qatar limeonyesha kufeli mpango wa kuanzisha uhusiano na Israel

    Kombe la Dunia Qatar limeonyesha kufeli mpango wa kuanzisha uhusiano na Israel

    Dec 04, 2022 02:38

    Khatibu wa msikiti mtakatifu wa al-Aqswa huko Palestina amesema, wananchi wa mataifa ya Kiarabu na Kiislamu wanaoshuhudia mashindano ya soka ya Kombe la Dunia yanayoendelea nchini Qatar wamethibitisha kugonga mwamba mpango mchafu wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala ghasibu wa Israel.

  • Cameroon, timu ya kwanza ya Afrika kuishinda Brazil, Ghana yalipiza kisasi kwa Uruguay

    Cameroon, timu ya kwanza ya Afrika kuishinda Brazil, Ghana yalipiza kisasi kwa Uruguay

    Dec 03, 2022 04:19

    Timu ya Taifa ya Cameroon imeweka historia ya kuwa timu ya kwanza ya Afrika kuwahi kuishinda Timu ya Taifa ya Brazil katika mashindano ya Kombe la Dunia, baada ya kumchabanga mwamba huyo wa soka wa Amerika ya Latini bao 1-0 katika hatua ya awali ya Mashindano ya Kombe la Dunia 2022 yanayoendelea hivi sasa nchini Qatar.

  • Sheikh Ali Da'mush: Mshindi halisi wa Kombe la Dunia Qatar ni Palestina

    Sheikh Ali Da'mush: Mshindi halisi wa Kombe la Dunia Qatar ni Palestina

    Dec 03, 2022 02:21

    Naibu wa Mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, mshindi halisi wa fainali za Kombe la Dunia zinazoendelea nchini Qatar ni taifa la Palestina kutokana na wimbi kubwa la wachezaji na mashabiki wa soka kuwaunga mkono wananchi wa Palestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS