Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Korea Kaskazini

  • Kiongozi wa Korea Kaskazini: Majaribio ya makombora ni 'onyo' kwa Marekani na Korea Kusini

    Kiongozi wa Korea Kaskazini: Majaribio ya makombora ni 'onyo' kwa Marekani na Korea Kusini

    Aug 08, 2019 03:59

    Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un ametangaza kuwa mlolongo wa majaribio ya makombora yaliyofanywa hivi karibuni na Pyongyang yametuma "onyo tosha" kwa mazoezi ya kijeshi ya pamoja yanayofanywa na Korea Kusini na Marekani.

  • Radiamali ya Korea Kusini kuhusiana na majaribio ya makombora mapya ya Korea Kaskazini

    Radiamali ya Korea Kusini kuhusiana na majaribio ya makombora mapya ya Korea Kaskazini

    Jul 27, 2019 06:57

    Wizara ya Ulinzi ya Korea Kusini imekosoa vikali majaribio ya makombora mapya ya Korea Kaskazini.

  • Umoja wa Ulaya warefusha vikwazo kwa Korea ya Kaskazini

    Umoja wa Ulaya warefusha vikwazo kwa Korea ya Kaskazini

    Jul 17, 2019 02:35

    Baraza la Umoja wa Ulaya limerefusha muda wa vikwazo vyake dhidi ya Korea ya Kaskazini ikiwa ni radiamali yake kwa majaribio ya makombora na silaha za nyuklia ya nchi hiyo.

  • Trump akanyaga ardhi ya Korea Kaskazini na kukutana na Kim Jon-un

    Trump akanyaga ardhi ya Korea Kaskazini na kukutana na Kim Jon-un

    Jun 30, 2019 07:50

    Rais Donald Trump amekuwa rais wa kwanza wa Marekani kukanyaga ardhi ya Korea Kaskazini.

  • Korea Kaskazini yaikosoa vikali Marekani kwa kurefusha tena vikwazo dhidi yake

    Korea Kaskazini yaikosoa vikali Marekani kwa kurefusha tena vikwazo dhidi yake

    Jun 26, 2019 12:03

    Serikali ya Korea Kaskazini imesema kuwa, hatua ya Washinton ya kurefusha vikwazo kwa muda wa mwaka mmoja dhidi ya Pyongyang ni kielelezo cha uhasama wa wazi wa nchi hiyo.

  • China na Korea Kaskazini zakosoa siasa za kimabavu za Marekani

    China na Korea Kaskazini zakosoa siasa za kimabavu za Marekani

    Jun 21, 2019 07:27

    Akizungumza na Rais Xi Jinping wa China, Kim Jong-un, Kiongozi wa Korea Kaskazini amekosoa vikali siasa za uhasama za Marekani.

  • Kaka wa Kambo wa Kiongozi wa Korea Kaskazini aliyeuawa alikuwa jasusi wa CIA

    Kaka wa Kambo wa Kiongozi wa Korea Kaskazini aliyeuawa alikuwa jasusi wa CIA

    Jun 11, 2019 13:00

    Kaka wa kambo wa Kiongozi wa Korea Kaskazini aliuawa baada ya kubainika kuwa ni jasusi wa shirika kuu la kijasusi la Marekani CIA.

  • Korea Kusini: Serikali ya Korea Kaskazini imewanyonga wanasiasa waliohusika na mazungumzo ya Trump na Kim Jong-un

    Korea Kusini: Serikali ya Korea Kaskazini imewanyonga wanasiasa waliohusika na mazungumzo ya Trump na Kim Jong-un

    Jun 01, 2019 08:02

    Duru za habari nchini Korea Kusini zimeripoti kwamba serikali ya Korea Kaskazini imewanyonga wanadiplomasia wa nchi hiyo kufuatia kufeli mazungumzo ya duru ya pili kati ya Rais Donald Trump wa Marekani na Kim Jong-un huko mjini Hanoi, Vietnam.

  • Safari ya Trump Japan, Washington kuitumia Tokyo kuanzisha tena mazungumzo na Korea Kaskazini

    Safari ya Trump Japan, Washington kuitumia Tokyo kuanzisha tena mazungumzo na Korea Kaskazini

    May 27, 2019 02:21

    Rais Donald Trump wa Marekani anafanya safari ya siku tatu nchini Japan.

  • Korea Kaskazini yaiwekea Marekani sharti ili kurejea kwenye mazungumzo

    Korea Kaskazini yaiwekea Marekani sharti ili kurejea kwenye mazungumzo

    May 26, 2019 02:28

    Serikali ya Korea Kaskazini imesema kuwa sharti la Pyongyang la kurejea kwenye meza ya mazungumzo na Marekani ni serikali ya Washington kubadilisha siasa zake za upande mmoja.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS