Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Korea Kaskazini

  • Mamia ya mashirika ya kigeni yashiriki maonyesho ya kibiashara Korea Kaskazini

    Mamia ya mashirika ya kigeni yashiriki maonyesho ya kibiashara Korea Kaskazini

    May 23, 2019 08:08

    Vyombo vya habari nchini Korea Kaskazini vimeripoti kwamba mamia ya mashirika ya kigeni kutoka nchi tofauti yameshiriki maonyesho ya kimataifa ya kibiashara nchini humo licha ya vikwazo vya Marekani dhidi ya serikali ya Pyongyang.

  • Korea Kaskazini: Marekani irejeshe haraka meli yetu ya mizigo iliyoiiba

    Korea Kaskazini: Marekani irejeshe haraka meli yetu ya mizigo iliyoiiba

    May 14, 2019 08:08

    Korea Kaskazini imeitaja hatua ya Marekani ya kuikamata meli yake ya mizigo kama 'wizi' na kusisitiza kuwa kitendo hicho kinakanyaga roho ya mazungumzo kati ya Kim Jong-un, Kiongozi wa Korea Kaskazini na Rais Donald Trump wa Marekani yaliyofanyika mwezi Juni mwaka jana.

  • Korea Kusini: Lengo la majaribio ya makombora ya Korea Kaskazini ni kuilalamikia Marekani

    Korea Kusini: Lengo la majaribio ya makombora ya Korea Kaskazini ni kuilalamikia Marekani

    May 10, 2019 14:00

    Rais Moon Jae-in wa Korea Kusini amesema kuwa, lengo la Korea Kaskazini kufanya majaribio mapya ya makombora yake, ni kuilalamikia Marekani.

  • Korea Kaskazini: Tunamuunga mkono Rais Nicolás Maduro wa Venezuela mbele ya njama za Marekani

    Korea Kaskazini: Tunamuunga mkono Rais Nicolás Maduro wa Venezuela mbele ya njama za Marekani

    May 06, 2019 02:26

    Serikali ya Korea Kaskazini imesema kuwa njama za maadui wa serikali halali ya Venezuela na kujaribu kufanya mapinduzi ya kijeshi dhidi ya serikali hiyo, ni kitendo hatari sana kwa usalama na amani ya eneo.

  • Kim Jong-un: Marekani imekuwa na miamala ya upande mmoja katika mazungumzo

    Kim Jong-un: Marekani imekuwa na miamala ya upande mmoja katika mazungumzo

    Apr 26, 2019 08:05

    Kim Jong-un, Kiongozi wa Korea Kaskazini amesema kuwa, kupatikana amani eneo la Rasi ya Korea kunategemea mienendo ya Marekani.

  • Korea Kaskazini yatoa radiamali kali kwa maneva ya kijeshi ya Marekani na Korea Kusini

    Korea Kaskazini yatoa radiamali kali kwa maneva ya kijeshi ya Marekani na Korea Kusini

    Apr 26, 2019 04:49

    Serikali ya Korea Kaskazini imetoa radiamali kali kufuatia maneva ya kijeshi ya hivi karibuni kati ya Marekani na Korea Kusini katika Rasi ya Korea.

  • Korea Kaskazini: Matamshi ya Bolton kuhusu duru ya tatu ya mazungumzo ni ya kipumbavu

    Korea Kaskazini: Matamshi ya Bolton kuhusu duru ya tatu ya mazungumzo ni ya kipumbavu

    Apr 20, 2019 13:13

    Korea Kaskazini imeyataja kama ya kipumbavu matamshi ya John Bolton, Mshauri wa Usalama wa Taifa katika Ikulu ya White House ya Marekani, ambaye hivi karibuni alisema kuwa uwezekano wa kufanyika duru ya tatu ya mazungumzo kati ya nchi mbili hizo ni mdogo.

  • Marekani yasalimu amri mbele ya Korea Kaskazini, yakubali kumtenga Pompeo kwenye mazungumzo yake na Pyongyang

    Marekani yasalimu amri mbele ya Korea Kaskazini, yakubali kumtenga Pompeo kwenye mazungumzo yake na Pyongyang

    Apr 19, 2019 13:31

    Serikali ya Marekani kupitia Wizara ya Mambo ya nje ya nchi hiyo imelazimika kusalimu amri mbele ya matakwa ya Korea Kaskazini ikisema kuwa, Washington ipo tayari kuendelea na mazungumzo ya nyuklia na Korea Kaskazini hata bila ya kuwepo Mike Pompeo, Waziri wake wa Mambo ya Nje.

  • Majaribio mapya ya kombora la Korea Kaskazini; jibu la Marekani kutoheshimu mazungumzo

    Majaribio mapya ya kombora la Korea Kaskazini; jibu la Marekani kutoheshimu mazungumzo

    Apr 19, 2019 10:50

    Shirika Rasmi la Habari la Korea Kaskazini (KCNA) limetangaza kupitia taarifa kwamba nchi hiyo siku ya Jumatano lilifanyia majaribio kombora jipya la kitaktiki linaloongozwa kwa mbinu maalumu.

  • Korea Kaskazini yafanyia majaribio kombora jipya la balestiki

    Korea Kaskazini yafanyia majaribio kombora jipya la balestiki

    Apr 18, 2019 13:32

    Serikali ya Korea Kaskazini imefanyia majaribio kombora jipya la balestiki.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS