-
Korea Kaskazini yaipa Marekani muhula na kuitaka ibadili mienendo
Apr 14, 2019 07:24Kim Jong-un, Kiongozi wa Korea Kaskazini ameonya kuwa, mazungumzo mengine kati yake na Rais Donald Trump wa Marekani yatafanyika tu iwapo Washington itabadilisha mienendo na misimamo yake.
-
Rais Moon Jae-in wa Korea Kusini: Lazima mazungumzo kati ya Trump na Kim Jong-un yaendelee
Apr 12, 2019 07:56Rais Moon Jae-in wa Korea Kusini ametaka kuendelezwa mazungumzo kati ya Marekani na Korea Kaskazini kwa ajili ya kutatua mzozo wa eneo la Rasi ya Korea.
-
Korea Kusini yaitahadharisha Marekani kwa njia isiyo ya moja kwa moja kabla ya mazungumzo ya nchi mbili
Apr 06, 2019 07:27Mjumbe maalumu Korea Kusini katika Masuala ya Usalama na Amani ya Rasi ya Korea amesema kuwa, Korea Kaskazini haitasalimu amri mbele ya vikwazo.
-
Uhispania: Kuna uwezekano shambulizi la ubalozi wa Korea Kaskazini mjini Madrid lilifanywa na Marekani
Mar 11, 2019 08:21Vyombo vya habari nchini Uhispania vimetangaza kwamba, kuna uwezekano vyombo vya intelejensia vya Marekani vilihusika katika shambulizi la siku chache zilizopita dhidi ya ubalozi wa Korea Kaskazini mjini Madrid.
-
Trump atoa radiamali baada ya Korea Kaskazini kukarabati eneo la kufanyia majaribio ya makombora
Mar 07, 2019 07:03Rais Donald Trump wa Marekani amesema kuwa, uamuzi wa Korea Kaskazini wa kukarabati eneo la kufanyia majaribio ya makombora, unazuia njia ya kuboresha uhusiano wa pande mbili.
-
Uamuzi wa Korea Kaskazini wa kutazama upya mazungumzo yake na Marekani
Mar 03, 2019 11:33Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Korea Kaskazini Choe Son-hui, ameelezea uwezekano wa nchi yake kutazama upya mazungumzo yake ya nyuklia na Marekani.
-
Kufeli vibaya Trump katika kampeni ya kuipokonya silaha za nyuklia Korea Kaskazini
Mar 01, 2019 13:56Licha ya majigambo na makelele mengi ya kipropaganda ya Donald Trump na madai yake ya kupata mafanikio makubwa katika kampeni yake ya kuipokonya silaha za nyuklia Korea Kaskazini, lakini rais huyo wa Marekani mwenye majivuno mengi amefeli vibaya katika suala hilo.
-
White House yakiri, mazungumzo ya Trump na Kim Jong-Un yamefeli
Feb 28, 2019 16:03Msemaji wa ikulu ya Rais wa Marekani, White House amesema mazungumzo ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo na Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-Un yamesitishwa ghafla na kabla ya wakati wake na amekiri kwamba, hakuna makubaliano ya aina yoyote yaliyofikiwa baina ya pande hizo mbili.
-
Mazungumzo ya Trump na Kim Jong-Un yafanyika Vietnam
Feb 27, 2019 16:21Mazungumzo ya siku ya kwanza ya Kim Jong-Un, Kiongozi wa Korea Kaskazini na rais wa Marekani, Donald Trump, yamefanyika mjini Hanoi, Vietnam.
-
Trump: Mkutano wangu ujao na Kim Jong-un Vietnam, hautakuwa wa mwisho
Feb 21, 2019 07:44Rais Donald Trump wa Marekani amesema kuwa, mkutano ujao kati yake na Kim Jong-un wa Korea Kaskazini mjini Hanoi, mji mkuu wa Vietnam, hautakuwa wa mwisho.