-
Washington Post: Marekani inajitayarisha kuishambulia Korea ya Kaskazini
Mar 07, 2016 12:48Gazeti moja linalochapishwa nchini Marekani limeandika kuwa Marekani na Korea ya Kusini zinafanya mazoezi katika maneva yao pamoja kwa ajili ya kuvishambulia vituo vya nyuklia vya Korea ya Kaskazini.