-
Korea Kaskazini yajiwekea rekodi ya kufyatua makombora ya balestiki mara tatu ndani ya wiki moja
Sep 30, 2022 07:22Korea Kaskazini imefyatua kombora la balestiki kwa mara ya tatu ndani ya wiki moja mara baada ya kumalizika ziara ya makamu wa rais wa Marekani Kamala Harris nchini Korea Kusini.
-
Mikrofoni yamnasa rais wa Korea Kusini akiwatusi wabunge wa US kwa kuwaita "wapumbavu"
Sep 26, 2022 11:36Rais Yoon Suk-yeol wa Korea Kusini amesema ripoti za vyombo vya habari kuhusu matamshi aliyotoa wakati wa safari yake mjini New York, si sahihi.
-
Kombora jipya la Korea Kaskazini na kiwingu kizito cha vita Kusini Mashariki mwa Asia
Sep 26, 2022 08:20Hatua ya Korea Kaskazini ya kufanyia majaribio kombora lake jipya kuelekea upande wa Bahari ya Japan imepokewa kwa hisia kali na nchi mbili za Japan na Korea Kusini.
-
Jumatatu, Agosti 15, 2022
Aug 15, 2022 02:21Leo ni Jumatatu mwezi 17 Muharram 1444 Hijria sawa na Agosti 15 mwaka 2022 Milaadia.
-
Korea Kusini ina hofu juu ya jaribio la 7 la nyukia linalokaribia kufanywa na Korea Kaskazini
Jul 26, 2022 11:19Korea Kusini imesema, si baidi kwa Korea Kaskazini kufanya jaribio la saba la nyuklia hapo kesho.
-
Jumamosi, 25 Juni, 2022
Jun 25, 2022 07:47Leo ni Jumamosi tarehe 25 Mfunguo Pili Dhul-Qaadah 1443 Hijria sawa na tarehe 25 Juni 2022 Miladia.
-
Wananchi wa Korea Kusini waandamana kupinga ngao ya Marekani ya THAAD
Jun 25, 2022 03:04Kwa mara nyingine wananchi wa Korea Kusini wamefanya maandamano kupinga mpango wa kusimikwa ngao ya makombora ya kisasa ya Marekani aina ya THAAD ndani ya nchi yao.
-
Maandamano ya kupinga safari ya Biden Korea Kusini
May 22, 2022 17:03Wanachama wa baadhi ya vyama na mashirika ya kiraia wamekusanyika mjini Seoul kupinga ziara ya Rais Joe Biden wa Marekani nchini Korea Kusini.
-
Wanaharakati wa asasi za kiraia Korea Kusini waandamana kupinga safari ya Biden
May 21, 2022 12:29Baadhi ya wanaharakati wa asasi mashuhuri za kiraia nchini Korea Kusini wamekusanyika katika mji mkuu wa nchi hiyo Seoul kupinga safari ya Rais Joe Biden wa Marekani nchini humo.
-
Korea Kaskazini yafanyia majaribio kombora lake kubwa kabisa la balestiki linalovuka mabara
Mar 24, 2022 13:19Korea Kusini na Japan zimesema, Korea Kaskazini imefanyia majaribio kile kinachoshukiwa kuwa ni kombora lake kubwa kabisa la balestiki linalovuka mabara.