-
Mafundisho ya Imam Hussein AS (6)
Oct 09, 2016 05:37Assalamu alaykum warahmatullahi wabarakatuh. Karibuni wapenzi wasikilizaji kuwa nasi tena katika mfululizo mwengine wa kipindi hiki maalumu cha Mafundisho ya Imam Hussein (as) kinachozungumzia falsafa na malengo ya harakati na mapambano ya mtukufu huyo katika Siku ya Ashura katika ardhi ya Karbala. Ni matumaini yangu kuwa mtaendelea kuwa nami hadi mwisho wa kipindi kusikiliza niliyokuandalieni katika mfululizo huu.
-
Wazayuni wamuua shahidi kijana Mpalestina Quds Tukufu
Sep 05, 2016 02:56Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameshambulia kambi ya wakimbizi wa Kipalestina katika Quds Tukufu (Jerusalem) inayokaliwa kwa mabavu na kumuua shahidi kijana Mpalestina.
-
Wapalestina wengine watatu wauliwa shahidi Al-Khalil
Mar 14, 2016 12:49Askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewaua shahidi kwa kuwapiga risasi vijana watatu wa Kipalestina karibu na mji wa Al-Khalil katika Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Tangu Oktoba, askari wa Israel wameshawaua shahidi Wapalestina 200
Mar 10, 2016 13:09Asksari wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewaua shahidi Wapalestina 200 tangu ilipoanza Intifadha ya Quds mwezi Oktoba mwaka jana hadi hivi sasa.