-
Kikao cha Munafikina mjini Paris na uungaji mkono wa Riyadh kwa ugaidi
Jul 11, 2016 07:40Kikao cha kundi la kigaidi la Munafikina huko Paris na matamshi yaliyotolewa na Turki Faisal Mkuu wa zamani wa Shirika la Ujasusi la Saudi Arabia mbele ya wanachama wa kundi hilo kwa mara nyingine tena yameonyesha namna Saudia inavyoendelea kutumia ugaidi kama stratejia ya kufanikisha malengo ya utawala wa Aal Saud katika eneo.
-
Saudia imefeli katika njama za kuhuisha kikundi cha munafikina
Jul 10, 2016 13:52Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran IRGC, amesema vyombo vya habari vya ajinabi vikiwemo vya Saudia vimefeli katika jitihada zao za kuhuisha kundi la kigaidi la munafikina.