-
Malalamiko ya Wapalestina dhidi ya kuyahudisha mfumo wa elimu wa Quds
Sep 21, 2022 02:12Skuli za Palestina katika mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu zimeanzisha mgomo jumuishi kwa ajili ya kulalamikia sera za elimu za utawala ghasibu wa Israel pamoja na mpango mchafu wa utawala huo wa kuziyahudisha shule za Kipalestina.
-
Palestina yaitaka jamii ya kimataifa isitishe njama za Israel za kuuyahudisha mji wa Quds
Dec 25, 2018 02:58Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Palestina imeitaka jamii ya kimataifa ichukue hatua za haraka na za maana ili kusitisha njama za utawala haramu wa Israel za kuuyahudisha mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu.
-
Wazayuni wazidi kuziyahudisha ardhi za Wapalestina
Apr 29, 2018 15:10Utawala wa Kizayuni wa Israel unaendelea na jinai zake za kupora ardhi za Wapalestina na kuziyahudisha. Tukio la karibuni kabisa ni jinai ya utawala huo dhalimu ya kuvunja makaburi ya Wapalestina katika eneo la Jaffa lililoko umbali wa kilomita 60 kutoka Tel Aviv, mji mkuu wa utawala pandikizi wa Kizayuni.
-
Kigogo wa makasino kugharamia kuhamishiwa ubalozi wa Marekani Baitul-Muqaddas
Feb 25, 2018 02:49Sheldon Adelson, bilionea wa Kiyahudi ambaye ni muungaji mkono mkubwa wa utawala ghasibu wa Israel ametangaza kuwa, atatoa gharama za kuhamishiwa ubalozi wa Marekani huko Baitul-Muqaddas.