Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Lebanon

  • Kuwa tayari Lebanon kwa ajili ya zoezi la uchaguzi wa Bunge

    Kuwa tayari Lebanon kwa ajili ya zoezi la uchaguzi wa Bunge

    May 05, 2022 08:03

    Bassam Mawlawi, Waziri wa Mambo ya Ndani wa Lebanon ametangaza kuwa, maandalizi ya lazima kwa ajili ya kuendesha zoezi la uchaguzi wa Bunge nchini humo katika muda uliopangwa yamekamilika.

  • Nasrullah atahadharisha kuhusu njama za kuitumbukiza Lebanon katika mzozo baada ya ajali ya boti

    Nasrullah atahadharisha kuhusu njama za kuitumbukiza Lebanon katika mzozo baada ya ajali ya boti

    Apr 25, 2022 10:51

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon Hizbullah ametahadharisha juu ya njama zenye lengo la kuibua machafuko katika nchi hiyo ambayo imeathiriwa na mgogoro mkubwa wa kiuchumi. Sayyid Hassan Nasrullah ameeleza haya baada ya boti kuzama mashariki mwa bahari ya Mediterania.

  • Spika wa Lebanon: Iran ndio chimbuko kuu la muqawama katika eneo

    Spika wa Lebanon: Iran ndio chimbuko kuu la muqawama katika eneo

    Mar 25, 2022 14:23

    Spika wa Bunge la Lebanon ameitaja Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kama chanzo kikuu cha harakati za muqawama katika eneo la Asia Magharibi, zilizoipa ilhamu kambi ya muqawama kote duniani.

  • Saudia na Kuwait kuwarejesha mabalozi wao Lebanon

    Saudia na Kuwait kuwarejesha mabalozi wao Lebanon

    Mar 25, 2022 02:29

    Saudi Arabia na Kuwait zimeamua kuhuisha uhusiano wao wa kidiplomasia na Beirut, ambao uliingia doa mwaka jana kufuatia matamshi ya ukosoaji aliyotoa aliyekuwa waziri wa habari wa Lebanon kuhusiana na uchokozi na uvamizi wa kijeshi wa muungano wa kivita wa unaoongozwa na Saudia dhidi ya Yemen.

  • Hizbullah: Vikwazo vya Marekani haviathiri mapambano ya Walebanon

    Hizbullah: Vikwazo vya Marekani haviathiri mapambano ya Walebanon

    Mar 05, 2022 14:16

    Mbunge wa harakati ya Hizbullah katika Bunge la Lebanon amesema vikwazo vya Marekani havina taathira yoyote katika mapambano ya Kiislamu au muqawama na kuongeza kuwa, Hizbullah ina njia mbalimbali za kusimama kidete na kukabiliana na mashinikizo ya maadui.

  • Walebanoni waandamana kuunga mkono operesheni ya kijeshi ya Russia nchini Ukraine

    Walebanoni waandamana kuunga mkono operesheni ya kijeshi ya Russia nchini Ukraine

    Mar 04, 2022 08:04

    Wakazi wa mji mkuu wa Lebanon, Beirut wamefanya maandamano wakishirikiana na Warussia wanaoishi nchini humo wakiunga mkono operesheni ya Jeshi la Russia dhidi ya "mafashisti wa Ukraine".

  • Amir Abdollahian afanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Lebanon, Katibu Mkuu wa UN na wawakilishi wa nchi mbalimbali mjini Munich

    Amir Abdollahian afanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Lebanon, Katibu Mkuu wa UN na wawakilishi wa nchi mbalimbali mjini Munich

    Feb 20, 2022 12:35

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Lebanon pambizoni mwa Mkutano wa 58 wa Usalama wa Munich.

  •  Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon: Beirut haitakabidhi silaha za Hizbullah

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon: Beirut haitakabidhi silaha za Hizbullah

    Jan 29, 2022 11:37

    Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Lebanon amesema kuwa nchi hiyo haitakabidhi silaha za Hizbullah. Abdallah Bou Habib ameyasema hayo kabla ya mkutano na mawaziri wenzake wa nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi huko Kuwait unaolenga kuboresha uhusiano.

  • Mufti wa Lebanon: Moto wa vita vya Yemen utachoma miji mikuu ya nchi za Kiarabu

    Mufti wa Lebanon: Moto wa vita vya Yemen utachoma miji mikuu ya nchi za Kiarabu

    Jan 25, 2022 02:29

    Mufti wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Lebanon amesema kuwa, iwapo moto wa vita vya Yemen hautazimwa, utachoma pia miji mikuu ya nchi za Kiarabu.

  • Hizbullah: Marekani, Saudia wahusika wakuu wa vita vya kiuchumi dhidi ya Lebanon

    Hizbullah: Marekani, Saudia wahusika wakuu wa vita vya kiuchumi dhidi ya Lebanon

    Jan 16, 2022 02:44

    Naibu Mkuu wa Baraza la Utendaji la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbuullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, Marekani na Saudi Arabia zimeanzisha vita vya kiuchumi dhidi ya Lebanon.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS