Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Lebanon

  • Iran na Lebanon zasisitizia haja ya kuimarisha uhusiano wa pande mbili

    Iran na Lebanon zasisitizia haja ya kuimarisha uhusiano wa pande mbili

    Oct 07, 2021 21:26

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu itaendelea kuliunga mkono na kulisaidia taifa la Lebanon linalokabiliwa na mgogoro wa kiuchumi uliotokana na vikwazo.

  • Hizbullah: Mafuta ya Iran yamevunja mzingiro wa kiuchumi dhidi ya Lebanon

    Hizbullah: Mafuta ya Iran yamevunja mzingiro wa kiuchumi dhidi ya Lebanon

    Oct 04, 2021 22:52

    Mkuu wa Baraza la Utendaji la harakati ya Hizbullah nchini Lebanon amesema kuwa, kuingizwa Lebanon shehena ya mafuta kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kumevunja mzingiro wa kiuchumi dhidi ya Lebanon.

  • Mafuta ya Iran yafufua sekta ya kilimo nchini Lebanon

    Mafuta ya Iran yafufua sekta ya kilimo nchini Lebanon

    Sep 24, 2021 23:04

    Mafuta ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yanayoendelea kutumwa nchini Lebanon yamefanikiwa kufufua sekta ya kilimo katika maeneo ya kusini mwa nchi hiyo na shughuli za kilimo za wakazi wa maeneo hayo zimeanza kunawiri tena.

  • Msafara mpya wa malori ya mafuta kutoka Iran yamewasili Lebanon

    Msafara mpya wa malori ya mafuta kutoka Iran yamewasili Lebanon

    Sep 22, 2021 04:02

    Televisheni ya al Mayadeen imetangaza kuwa msafara mwingine wa malori yenye shehena ya mafufa kutoka Iran umewasili Lebanon baada ya kuvuka mpaka wa Syria.

  • Meli ya tatu iliyobeba shehena ya mafuta ya Iran imeondoka nchini kuelekea Lebanon

    Meli ya tatu iliyobeba shehena ya mafuta ya Iran imeondoka nchini kuelekea Lebanon

    Sep 20, 2021 06:52

    Kituo cha ufuatiliaji wa safari za meli za mafuta kimeripoti kuwa, meli ya tatu iliyobeba shehena ya mafuta ya Iran imeondoka hapa nchini kuelekea Lebanon.

  • Mafanikio ya kiistratijia ya kutumwa mafuta ya Iran nchini Lebanon; nguvu za muqawama za kutatua mgogoro

    Mafanikio ya kiistratijia ya kutumwa mafuta ya Iran nchini Lebanon; nguvu za muqawama za kutatua mgogoro

    Sep 19, 2021 07:53

    Malori ya kwanza ya mafuta ya Iran yaliwasili nchini Lebanon Alkhamisi tarehe 16 Septemba, 2021 na kupokewa kwa shauku na furaha kubwa na wananchi wa nchi hiyo. Shehena ya pili ya mafuta hayo iliwasili Jumamosi asubuhi, Septemba 18 baada ya kuvuuka mpaka wa Syria na kuingia Lebanon.

  • Waziri wa Lebanon: Mafuta ya Iran yamevunja vikwazo vya kidhalimu vya Marekani

    Waziri wa Lebanon: Mafuta ya Iran yamevunja vikwazo vya kidhalimu vya Marekani

    Sep 16, 2021 07:47

    Waziri wa Kazi wa serikali mpya ya Lebanon amesema sambamba na kuingia misafara ya mafuta ya Iran katika ardhi ya nchi hiyo kwamba, shehena hizo za mafuta zimevunja mzingiro wa kihistoria na wa kidhalimu ambao Marekani ilikuwa imeiwekea Lebanon.

  • Baada ya mkwamo wa miezi 13 hatimaye agizo la kuunda serikali mpya ya Lebanon lasainiwa

    Baada ya mkwamo wa miezi 13 hatimaye agizo la kuunda serikali mpya ya Lebanon lasainiwa

    Sep 10, 2021 22:41

    Agizo la kuundwa serikali ya Lebanon limesainiwa rasmi na Rais Michel Aoun wa nchi hiyo.

  • Ubunifu wa Hizbullah na kushindwa siasa za mzingiro na uingiliaji za Marekani

    Ubunifu wa Hizbullah na kushindwa siasa za mzingiro na uingiliaji za Marekani

    Sep 06, 2021 01:55

    Ubunifu wa chama cha Hizbullah cha Lebanon katika kuingiza nchini mafuta kutoka Iran na hivyo kudhibiti mgogoro wa nishati wa nchi hiyo, kunachukuliwa kuwa ishara ya wazi ya kushindwa siasa za mzingiro za Marekani dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Amir-Abdollahian: Iran iko tayari kuiuzia Lebanon mafuta zaidi

    Amir-Abdollahian: Iran iko tayari kuiuzia Lebanon mafuta zaidi

    Sep 03, 2021 21:57

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu iko tayari kuendelea kuiuzia serikali na wafanyabiashara wa Lebanon mafuta.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS