-
Mufti wa Lebanon: Hizbullah imetuletea fakhari; Marekani ni gonjwa la saratani la Lebanon
Sep 02, 2021 02:59Mufti wa Waislamu wa Kishia nchini Lebanon amesema kuwa, Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ni fahari kwa Lebanon na kwamba, kama kuna saratani nchini humo na ulimwenguni, basi saratani hiyo ni Marekani na wafuasi wake.
-
Iran yaionya Marekani; Msithubutu kuzuia meli zetu za mafuta zinazoelekea Lebanon
Aug 30, 2021 07:01Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Marekani haina haki wala mamlaka ya kuzuia biashara halali baina ya Jamhuri ya Kiislamu na nchi nyinginezo duniani huku akiionya vikali Washington dhidi ya kuzuia meli za mafuta za nchi hii zinazoelekea Lebanon.
-
Mbunge Mkristo wa Lebanon: Iran ni rafiki yetu; balozi wa Marekani aache uafriti wa kutukwamisha
Aug 26, 2021 22:06Cesar Maalouf, mbunge wa Kikristo katika bunge la Lebanon amesema, Iran si adui wa Lebanon bali ni nchi rafiki; na adui Mzayuni ndiye adui pekee wa Lebanon.
-
Lebanon yafungua mashtaka dhidi ya kampuni ya Uingereza kwa kuhusika na mlipuko wa Bandari ya Beirut
Aug 25, 2021 03:46Lebanon imefungua mashtaka katika mahakama Kuu ya Uingereza mjini London dhidi ya kampuni moja ya nchi hiyo kwa tuhuma za kuhusika katika mlipuko wa mwaka jana katika Bandari ya Beirut.
-
Rais wa Lebanon: Mnamo siku zijazo zitasikika habari njema za kuundwa serikali
Aug 23, 2021 22:15Rais Michel Aoun wa Lebanon amesema, ana matumaini kuwa katika siku zijazo zitatangazwa habari njema kuhusu uundwaji wa serikali ya nchi hiyo.
-
Nafasi ya Marekani katika mgogoro wa sasa nchini Lebanon
Aug 23, 2021 22:12Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah Jumapili ya juzi tarehe 22 Agosti alitoa hotuba akizungumzia masuala ya ndani ya nchi hiyo na kusema kuwa, Marekani imekuwa na nafasi kubwa katika kuchochea mgogoro wa sasa wa Lebanon.
-
UNIFIL yaikosoa Israel kwa kukiuka mamlaka ya kujitawala Lebanon
Aug 22, 2021 22:02Hatua ya utawala haramu wa Israel ya kukiuka mamlaka ya kujitawala Lebanon wakati wa kuishambulia Syria imekosolewa na Kikosi cha Mpito cha Umoja wa Mataifa huko Lebanon (UNIFIL)
-
Radiamali kwa hatua ya Iran ya kutuma mafuta Lebanon
Aug 22, 2021 00:43Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetuma meli za mafuta huko Lebanon kufuatia kupamba moto mgogoro wa nishati nchini humo.
-
Walebanon wakaribisha hatua ya Hizbullah ya kuagiza mafuta kutoka Iran
Aug 19, 2021 19:36Hotuba ya Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon kuhusu safari ya meli za mafuta kutoka Iran zinazoelekea nchini humo imekaribishwa kwa shangwe na wanasiasa na sehemu kubwa ya wananchi wa Lebanon hususan katika mitandao ya kijamii.
-
Kuondolewa ruzuku ya nishati na duru mpya ya malalamiko ya watu wa Lebanon
Aug 13, 2021 19:29Uamuzi wa Gavana wa Benki Kuu ya Lebanon wa kufutilia mbali ruzuku ya nishati, umepelekea watu wa nchi hiyo kuanzisha duru mpya ya malalamiko na maandamano ya mitaani.