-
"Muqawama wa Kiislamu utajibu hujuma zote za Israel dhidi ya Lebanon"
Aug 13, 2021 08:33Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema utawala wa Kizayuni wa Israel unapaswa kufahamu kuwa, muqawama wa Kiislamu utatoa majibu kwa mashambulizi yote ya Tel Aviv dhidi ya Lebanon.
-
Nasrullah: Hizbullah imejiandaa kutoa jibu zito kwa uchokozi wa Israel
Aug 08, 2021 03:24Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema harakati hiyo ya muqawama haitaki vita, lakini pia haigopi vita kwa kuwa ina uhakika wa kuibuka mshindi iwapo vitaibuka.
-
Shambulio la kijeshi la Israel kusini mwa Lebanon baada ya miaka 15; sababu, malengo na matokeo yake
Aug 06, 2021 20:42Vyombo ya habari vya Palestina vilitangaza alfajiri ya kuamkia Alkhamisi kwamba ndege za kivita za jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel zimeshambulia ngome kadhaa katika eneo la mpaka wa pamoja wa kusini mwa Lebanon na Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel).
-
Hizbullah yasema imerusha maroketi dhidi ya kambi ya utawala za Kizayuni wa Israel
Aug 06, 2021 07:14Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa wapiganaji wake wa kituo cha Shahidi Ali Muhsin Kamel na Shahidi Muhammad Qassim Tahal wamejibu mashambulizi ya karibuni ya utawala wa Kizayni wa Israel dhidi ya ardhi ya Lebanon kwa kufurumusha maroketi kadhaa dhidi ya utawala huo.
-
Judoka mwingine, raia wa Lebanon akataa kupambana na Mzayuni
Aug 01, 2021 03:39Mwanajudo wa Lebanon, Abdullah Miniato ametangaza kujiondoa katika mashindano ya kimataifa ya mchezo wa mixed martial arts (MMA) huko mjini Sophia, Bulgaria, na kwa utaratibu huo anakuwa judoka wa tatu kukwepa kuvaana na hasimu kutoka utawala haramu wa Israel katika mashindano ya Olimpiki ya Tokyo 2020.
-
Muungano wa kijeshi wa Saudi Arabia waendeleza mashambulio ya anga dhidi ya Yemen
Jul 31, 2021 21:59Muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na utawala vamizi wa Saudi Arabia umeendelea kuyashambulia maeneo mbalimbali ya nchi masikini ya Yemen.
-
Kamanda wa jeshi la Lebanon: Jeshi liko macho mkabala na hatari ya adui Mzayuni
Jul 30, 2021 22:10Kamanda wa jeshi la Lebanon amesisitiza kuwa vikosi vya jeshi hilo vipo tayari katika maeneo ya mipakani kwa ajili ya kukabiliana na hatari ya utawala wa Israel.
-
Najib Mikati apewa jukumu la kunda serikali nchini Lebanon
Jul 26, 2021 22:02Najib Mikati mfanyabiashara tajiri wa Lebanon amepata wingi wa kura za Wabunge na hivyo kuidhinishwa kubeba jukumu la Uwaziri Mkuu na kuunda serikali ya nchi hiyo.
-
Hizbullah: Marekani ndiye msababishaji mkuu wa masaibu yote ya Lebanon
Jul 17, 2021 03:17Mkuu wa Baraza la Utekelezaji la Hizbullah ya Lebanon amesema, uingiliaji wa Marekani ndio sababu kuu ya masaibu yote ya Lebanon na akasisitiza kwamba, fitna ya Marekani inaandama na kuhujumu kila sehemu ya eneo la Asia Magharibi ulipo muqawama na uteteaji wa sharafu na heshima.
-
Lebanon yakumbwa na maandamano baada ya Saad Hariri kujitoa katika jukumu la kuunda serikali
Jul 16, 2021 03:42Maandamano makubwa yameshuhudiwa katika maeneo mbalimbali ya Lebanon masaa machache tu baada ya Waziri Mkuu Saad Hariri kutangaza kujiuzulu na kuacha jukumu alilopatiwa na kuunda serikali mpya ya nchi hiyo.