-
Zaidi ya watu 50 wafariki dunia kwa homa ya manjano nchini Angola
Feb 15, 2016 11:55Mkuu wa idara ya taifa ya afya nchini Angola amesema kuwa, watu 51 wamefariki dunia katika kipindi cha chini ya miezi mwili katika nchi hiyo ya kusini mwa Afrika kutokana na homa ya manjano.