Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC

  • Ripoti: Nchi 125 zawajibika kisheria kumkamata Netanyahu huku hati ya ICC ikimnyemelea Waziri Mkuu huyo wa Israel

    Ripoti: Nchi 125 zawajibika kisheria kumkamata Netanyahu huku hati ya ICC ikimnyemelea Waziri Mkuu huyo wa Israel

    Aug 27, 2026 04:20

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu anakabiliwa na vizuizi vikali kimataifa vya kusafiri huku nchi 125 duniani zikiwajibika kisheria kwa kuwa wanachama katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kumtia mbaroni mtenda jinai huyo iwapo awasili katika nchi hizo.

  • ICC yalaani na kupinga vikali vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya maafisa wake

    ICC yalaani na kupinga vikali vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya maafisa wake

    Aug 20, 2026 10:36

    Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, ICC, imelaani na kupinga vikali hatua ya serikali ya Marekani ya kumuwekea vikwazo Rais wa Mahakama hiyo, Jaji Tomoko Akane kutoka Japan, na Wakili Mwandamizi wa Ofisi ya Mwendesha Mashtaka, Abdoulaye Seye kutoka Senegal.

  • Chad kujiondoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, yasema inaziandama zaidi nchi za Afrika

    Chad kujiondoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, yasema inaziandama zaidi nchi za Afrika

    Jul 28, 2026 03:52

    Chad imejiunga na orodha inayoongezeka ya nchi zilizoanza taratibu za kujiondoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) ikisema inaziandama zaidi nchi za Afrika.

  • Mwendesha-mashtaka wa ICC Karim Khan aondolewa kufuatia tuhuma za unyanyasaji wa kingono

    Mwendesha-mashtaka wa ICC Karim Khan aondolewa kufuatia tuhuma za unyanyasaji wa kingono

    Jul 25, 2026 02:58

    Mkutano wa Nchi Wanachama wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) umepiga kura ya kumwondoa Mwendesha Mashtaka Karim Khan kufuatia madai ya utovu wa nidhamu wa kingono; timu yake ya wanasheria imethibitisha hayo, huku ikidokeza kuwa hatua hiyo ilikuwa ya "kisiasa".

  • Waghana waiomba ICC kuchunguza ukatili wa chuki dhidi ya wageni nchini Afrika Kusini

    Waghana waiomba ICC kuchunguza ukatili wa chuki dhidi ya wageni nchini Afrika Kusini

    Jul 24, 2026 02:48

    Raia wawili wa Ghana wamewasilisha ombi kwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) wakiitaka kufungua uchunguzi wa awali kuhusu vitendo vya ukatili vinavyowalenga wageni nchini Afrika Kusini, wakisema kwamba muundo, ukubwa na kukaririwa mashambulizi yanayowalenga wahamiaji vinaweza kuwa uhalifu dhidi ya ubinadamu.

  • EU yaunga mkono ICC, yapinga kampeni ya Trump ya kuvunja mahakama ya uhalifu wa kivita

    EU yaunga mkono ICC, yapinga kampeni ya Trump ya kuvunja mahakama ya uhalifu wa kivita

    Jul 16, 2026 02:55

    Umoja wa Ulaya (EU) umesisitiza tena uungaji mkono wake kwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC), ukipinga kampeni mpya ya utawala wa Rais wa Marekani, Donald Trump ya kudhoofisha mahakama hiyo yenye makao yake makuu The Hague nchini Uholanzi.

  • ICC 'yahofia' kuhusu kujiondoa kwa Mali, Burkina Faso na Niger

    ICC 'yahofia' kuhusu kujiondoa kwa Mali, Burkina Faso na Niger

    Jul 02, 2026 11:35

    Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imeeleza wasiwasi wake kuhusu kujiondoa Mali, Burkina Faso na Niger kwenye mahakama hiyo, ikisema kunadhoofisha harakati za kimataifa za kutafuta haki.

  • ICC yamsimamisha Kazi Mwendesha Mashtaka Mkuu kwa tuhuma za utovu wa nidhamu wa kingono

    ICC yamsimamisha Kazi Mwendesha Mashtaka Mkuu kwa tuhuma za utovu wa nidhamu wa kingono

    Jun 09, 2026 09:48

    Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imemsimamisha kazi Mwendesha Mashtaka Mkuu, Karim Khan, kwa madai ya utovu wa nidhamu wa kingono na msaidizi wake.

  • ICC: Vikwazo vya US ni 'hujuma' dhidi ya haki duniani

    ICC: Vikwazo vya US ni 'hujuma' dhidi ya haki duniani

    Dec 19, 2025 07:43

    Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imelaani vikwazo vya hivi karibuni vya Marekani dhidi ya majaji wawili wa korti hiyo ya Umoja wa Mataifa.

  • Mwendesha Mashtaka wa ICC aikosoa Marekani kwa kuwafananisha majaji wa mahakama hiyo na magaidi, walanguzi wa dawa za kulevya

    Mwendesha Mashtaka wa ICC aikosoa Marekani kwa kuwafananisha majaji wa mahakama hiyo na magaidi, walanguzi wa dawa za kulevya

    Dec 06, 2025 10:27

    Naibu mwendesha mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) ameikosoa vikali serikali ya Marekani kwa kuwawekea vikwazo majaji wa mahakama hiyo ya kimataifa, hatua ambayo amesema inaakisi jinsi Washington inavyowalenga magaidi na wafanyabiashara wa dawa za kulevya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS