-
Malaysia yataka kupatiwa ufumbuzi matatizo ya Waislamu wa Rohingya
Sep 25, 2016 00:45Ahmad Zahid Hamidi Naibu Waziri Mkuu wa Malaysia ametaka kutekelezwa mpango kamili na jumuishi wa kuyapatia ufumbuzi matatizo yanayowakabili Waislamu wa Rohingya; ambao wamelazimika kuhama Myanmar na kuwa wakimbizi kutokana na mashinikizo ya Mabudha wenye misimamo mikali wa nchi hiyo.
-
Mabaki ya Ndege yaliyopatikana Pemba, Tanzania kuchunguzwa iwapo ni ya ndege ya Malaysia
Jun 24, 2016 03:36Uchunguzi umeanzishwa kubaini iwapo kipande cha mabaki ya ndege kilichopatikana kisiwani Pemba nchini Tanzania ni kile cha ndege ya Malaysia aina ya Boeing 777 , Nambari MH370 iliyotoweka Machi 2014 au la.