- 
          Imam Khomeini, Kiongozi KipenziFeb 01, 2021 05:48Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi popote pale mlipo. Karibuni katika mfululizo huu wa vipindi maalumu vinavyokujieni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya Alfajiri Kumi kuelekea kilele cha maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya nchini Iran. 
- 
          Rouhani: Taifa la Iran lilisambaratisha udikteta na ubeberuJan 30, 2021 12:20Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Taifa la Iran kwa mapambanao na muqawama limeweza kusambaratisha ubeberu." 
- 
          Iran yalalamikia taarifa ya Ufaransa ya kumuunga mkono mhalifu aliyenyongwaDec 14, 2020 04:50Iran imemuita balozi wa Ufaransa mjini Tehran Philippe Thiebaud kulalamikia taarifa ya wizara ya mambo ya nje ya nchi hiyo ya Ulaya ambayo imelaani kutekelezwa hukumu ya kunyongwa Ruhullah Zam, aliyepatikana na hatia ya kusimamia mtandao uliokuwa ukiendesha propaganda chafu dhidi ya Mapinduzi ya Kiislamu. 
- 
          Brigedia Jenerali Dehqan: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yalitoa pigo la kihistoria dhidi ya MarekaniSep 24, 2020 12:03Mshauri wa Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Iran katika masuala ya sekta ya viwanda vya ulinzi amesema kuwa, ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yalikuwa pigo kubwa zaidi la kihistoria dhidi ya Marekani na yaliinasua nchi hii kutoka katika makucha ya ukoloni wa Magharibi. 
- 
          Mapinduzi ya Kiislamu Katika Nadharia za Sayansi ya Jamii (4): Mapinduzi ya Kiislamu yalivyojipambanua na mapinduzi mengine makubwa dunianiJul 14, 2020 10:13Mazungumzo yetu katika sehemu ya tatu ya kipindi hiki yaliishia pale tulipogusia mitazamo ya waandishi mbali mbali kuhusu nafasi ya dini katika Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran. 
- 
          Mapinduzi ya Kiislamu Katika Nadharia za Sayansi ya Jamii (3): Mapinduzi ya Kiislamu yalivyojipambanua na mapinduzi mengine makubwa dunianiJul 07, 2020 09:42Nukta moja muhimu zaidi inayoyapambanua na kuyatafautisha Mapinduzi ya Kiislamu na mapinduzi mengine makubwa, ni hali ya kijiopolitiki ya Iran. Iran iko kwenye eneo la Mashariki ya Kati, ambalo kabla yake, hayajawahi kutokea Mapinduzi ya Kiislamu au mapinduzi mengine, katika nchi yoyote ile ya eneo hili. 
- 
          Kiongozi Muadhamu atilia mkazo udharura wa kujifunza fikra za hayati Imam KhomeiniJun 04, 2020 07:39Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu mapema jana alihutubia taifa kwa njia ya televisheni kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyoaga dunia hayati Imam Ruhullah Khomeini, mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran akisema kuwa kutaka mabadiliko, kuwa na ari ya kufanya mabadiliko na kuyafanya mageuzi ni miongoni mwa sifa muhimu za hayati Imam Khomeini. 
- 
          Sheikh Isa Qassim: Umma wa Kiislamu una wajibu wa kulinda Mapinduzi ya KiislamuJun 04, 2020 07:38Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini Bahrain amesema Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yaliyoongozwa na Imam Khomeini (MA) yanafanana na ya Mitume na kusisitiza kwamba umma wote wa Kiislamu una wajibu wa kuyalinda mapinduzi hayo. 
- 
          Nuru ya Imani katika Mwamko wa Imam Khomeini MAFeb 13, 2020 06:21Hamjambo wapenzi wasikilizake na karibuni kujiunga nami katika makala hii tuliyokutayarishieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ambapo leo tutaangazia namna fikra za Imam Khomeini MA, zilivyoweza kuenea na kuwavutia wasomi wengi duniani. 
- 
          Rouhani: Iran inaendelea kustawi licha ya njama za maaduiFeb 11, 2020 12:18Rais Hassan Rouhani amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaendelea kustawi na kuimarika licha ya uhasama na njama za maadui hususan Marekani, na kwamba 'Mapinduzi ya Kiislamu' lilikuwa chaguo la taifa zima la Iran.