-
Ombi la Ufaransa na Marekani kwa China kuitaka iwe msuluhishi katika vita vya Ukraine
Apr 07, 2023 04:49Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa siku ya Jumatano aliwasili Beijing kwa ziara ya siku tatu nchini China. Ziara hiyo ni ya kwanza kufanywa na Macron nchini China tangu mwaka 2019. Rais huyo wa Ufaransa jana alifanya mazungumzo na mwenyeji wake Rais Xi Jinping.
-
Lavrov: Russia na Marekani sasa zimeingia kwenye awamu ya Vita Moto
Apr 06, 2023 03:38Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergei Lavrov amebainisha kuwa, nchi hiyo na Marekani sasa zimeingia katika awamu ya vita moto kutokana na muendelezo wa utumaji silaha kutoka nchi za Magharibi hususan Marekani kuelekea Ukraine kwa kisingizio cha vita katika nchi hiyo.
-
Rais wa Uturuki akasirishwa na balozi wa Marekani, amtaka 'aijue mipaka yake'
Apr 03, 2023 22:41Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema, kuanzia sasa "milango yake imefungwa" kwa balozi wa Marekani mjini Ankara, Jeffry Flake na akakemea mkutano wa hivi karibuni aliofanya mwanadiplomasia huyo na mpinzani wake katika uchaguzi ujao wa rais.
-
Kukiri Biden kuhusu kutenga serikali ya Marekani bajeti kwa ajili ya kuingilia masuala ya ndani ya nchi zingine
Apr 03, 2023 08:46Rais Joe Biden wa Marekani amesema kuwa, nchi hiyo imetenga bajeti ya mabilioni ya dola ambayo yatatumika katika masuala ambayo ameyataja kama “kuufanya mwenge wa uhuru uendelee kuwaka”.
-
Mbunge wa Ujerumani ataka kufukuzwa nchini humo jeshi la US
Apr 03, 2023 04:56Mbunge mmoja wa Ujerumani ametoa mito wa kufukuzwa nchini humo vikosi vya jeshi la Marekani ambavyo vimekuwepo nchini humo kwa karibu miongo minane.
-
Ombi la watu wa Morocco la kufutwa uhusiano wa nchi yao na utawala wa Kizayuni wa Israel
Apr 02, 2023 23:53Kwa mnasaba wa Machi 30, Siku ya Ardhi ya Palestina, idadi kubwa ya raia wa Morocco walijumuika katika mji mkuu, Rabat na kushiriki katika maandamano ya kupinga utawala wa Kizayuni wa Israel, ambapo kwa mara nyingine wametaka kufutwa kwa mapatano ya kuanzishwa uhusiano wa kawaida kati ya serikali yao na utawala huo dhalimu.
-
Russia yapinga vitendo vya uchochezi vya Marekani nchini Syria
Apr 02, 2023 04:35Kamanda wa ngazi za juu nchini Russia alitangaza siku ya Ijumaa kuwa Moscow iimelalmikia "vitendo vya uchochezi" vya vikosi vamizi vya Marekani nchini Syria.
-
kufutwa sarafu ya dola katika mabadilishano ya kibiashara kati ya Brazil na China
Apr 01, 2023 22:53Serikali za Brazil na China Jumatano, Machi 29, zilitangaza makubaliano ambapo dola ya Marekani utatupiliwa mbali na kuondolewa katika miamala ya kibiashara kati ya nchi hizo mbili.
-
Ofisi ya Rais wa Iran: Marekani inapasa kuilipa Iran fidia ya uharibifu wa mali ndani ya miaka miwili
Apr 01, 2023 04:29Mkuu wa Kituo cha Masuala ya Kisheria ya Kimataifa cha Ofisi ya Rais wa Iran amesema Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu ICJ imeamua kuwa serikali ya Marekani inapasa kufidia uharibifu iliousababisha dhidi ya Iran ndani ya kipindi cha miaka miwili, kutokana na kutwaa baadhi ya mali zake.
-
Seneti ya Marekani yafuta kibali cha Pentagon kuhusu oparesheni za kijeshi Iraq
Mar 31, 2023 23:43Seneti ya Marekani Jumatano wiki hii ilihitimisha kibali ilichokuwa imekitoa kwa Wizara ya Ulinzi ya nchi hiyo (Pentagon) mwaka 1999 na 2002 kwa ajili ya vita huko Iraq na imepasisha uamuzi wa kufutwa kibali cha Pentagon kwa ajili ya kutekeleza oparesheni za kijeshi huko Iraq bila ya kuhitaji idhini ya Kongresi.