-
Raisi: Ulipizaji kisasi cha damu ya Shahidi Soleimani ni hakika isiyoepukika
Jan 03, 2023 11:54Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Wamarekani wanapaswa kujua kwamba watu wa Iran hawataiacha damu ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani iende bure, na bila shaka watalipiza kisasi kwa damu ya shahidi huyo wa ngazi ya juu.
-
Makumi ya Wamarekani, wahanga wa umaskini na baridi kali, huku mabilioni ya dola yakitumiwa kwenye vita vya Ukraine
Jan 02, 2023 22:51Wakati mji wa Buffalo ulioko katika jimbo la New York kaskazini-mashariki mwa Marekani, ukihangaika kujikwamua kwenye athari mbaya za theluji na dhoruba kali, matatizo yaliyosababishwa na maafa hayo makubwa yamedhihirisha zaidi ukosefu wa usawa wa kiuchumi na ubaguzi wa kimbari katika mji huo na Marekani kwa ujumla.
-
Korea Kaskazini kuongeza kiwango cha silaha za nyuklia kukabili tishio la US
Jan 01, 2023 03:49Kiongozi wa Korea Kaskazini ametoa amri ya kuzalishwa makombora mapya ya balestiki ya kuvuka mabara, sambamba na kuongezwa kiwango cha silaha za nyuklia za 'kimkakati' kwa ajili ya kukabiliana na tishio la Marekani.
-
Twitter ya Elon Musk yawakasirisha Waislamu Marekani, "CAIR" yamtaka ajifunze Uislamu
Jan 01, 2023 00:44Bilionea wa Kimarekani, Elon Musk, ambaye ni mmiliki wa mtandao wa kijamii wa Twitter, amewakasirisha Waislamu nchini Marekani baada ya kuchapisha picha kwenye akaunti yake ya Twitter, ikiwa na idadi ya alama za fikra na itikadi anazodai zinalenga "kupindua na kuharibu fikra na akili za watu."
-
Sisitizo la Putin la kuimarisha ushirikiano wa kijeshi kati ya Russia na China kwa ajili ya kukabiliana na mashinikizo ya kijiopolitiki
Dec 31, 2022 07:50Rais Vladimir Putin wa Russia jana Ijumaa aliwasiliana kwa njia ya video na Rais Xi Jinping wa China na kuashiria mapambano ya Beijing na Moscow mkabala wa mashinikizo ya kijiopolitiki na kueleza kuwa ushirikiano wa nchi mbili unasaidia kuwepo mfumo wa kiadilifu duniani.
-
China: Marekani ndiyo chanzo cha kuvurugika amani ya eneo ikiwemo Bahari ya Kusini ya China
Dec 30, 2022 22:42Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China amesema, Marekani ndiyo chanzo cha kuvurugikka amani katika eneo, ikiwa ni pamoja na Bahari ya Kusini ya China, na akaitaka Washington iache hatua zake hatarishi na za kichochezi.
-
Jibu kali la Moscow kwa tishio la Marekani la kumuua Putin
Dec 28, 2022 22:54Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia amesema kuwa matamshi ya maafisa wa Marekani katika Wizara ya Ulinzi ya nchi hiyo Pentagon, kuhusu pigo la kukata kichwa cha Kremlin kwa hakika ni tishio la kutaka kumuua kigaidi Rais wa Russia.
-
Zaidi ya watoto 6,000 ni wahanga wa ukatili wa bunduki nchini Marekani mwaka 2022
Dec 28, 2022 04:33Mtandao wa Hifadhi ya Ukatili wa Silaha nchini Marekani uliripoti kwamba mwaka huu unaomalizika wa 2022, zaidi ya watoto 6,000 wa nchi hiyo waliuawa au kujeruhiwa kwa kupigwa risasi na vurugu za kutumia silaha, idadi ambayo ni kubwa zaidi kuwahi kurekodiwa katika kipindi cha miaka 9 iliyopita.
-
Medvedev atabiri kugawanyika Marekani, Ulaya; Elon Musk kuwa rais wa Marekani mwaka 2023
Dec 28, 2022 00:54Dmitry Medvedev, Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Usalama wa Taifa la Russia, amewasilisha utabiri wake wa mwaka mpya wa 2023 unaojumuisha hatima mbaya kwa Merekani na Umoja wa Ulaya, ambazo zimekuwa kwenye mzozo mkali na Russia tangu kuanza kwa vita nchini Ukraine tarehe 14 Februari mwaka huu.
-
Indhari ya Rais wa Venezuela kuhusu kufikia ubeberu wa Marekani katika hatua hatarishi zaidi
Dec 27, 2022 22:27Rais Nicolas Maduro wa Venezuela ametahadharisha kuwa ubeberu wa Marekani umeingia katika hatua hatarishi zaidi na unajaribu kufanya kila njia ili kuzusha mapigano na kuwasha moto wa vita duniani.