-
Nicaragua yakata uhusiano na Uholanzi, yamzuia balozi wa Marekani
Oct 01, 2022 08:32Nicaragua imetangaza kukata uhusiano wake wa kidiplomasia na Uholanzi, muda mfupi baada ya kumzuia Balozi wa Marekani kuingia nchini humo kutokana na kile ilichokitaja kuwa ni uingiliaji wa mambo ya ndani ya nchi hiyo ya Amerika ya Latini.
-
Amir-Abdollahian: Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq alikuwa amebeba salamu za Marekani kwa Iran
Sep 30, 2022 04:29Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, katika kipindi cha miezi iliyopita baadhi ya mawaziri wa mambo ya nje wa nchi kadhaa wamekuwa wakifikisha jumbe za Marekani kwa Iran na kinyume chake, na akaongeza kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq, Fuad Hussein naye pia alikuwa amebeba ujumbe wa salamu za Marekani kwa Iran.
-
Marekani yaiwekea Iran vikwazo vingine vipya licha ya mazungumzo ya kuondoa vikwazo vyake haramu
Sep 30, 2022 01:03Wizara ya Fedha ya Marekani imeiwekea Iran vikwazo vipya katikati ya mazungumzo ya nchi hiyo na pande husika katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA yanayolenga kuondoa vikwazo vilivyo kinyume na sheria vya Washington dhidi ya Tehran.
-
Ukosoaji wa China kwa vikwazo vya Marekani vinavyosababisha masaibu kwa nusu ya watu wote duniani
Sep 28, 2022 22:56Wizara ya Mambo ya Nje ya China imeikosoa Marekani kwa kutekeleza sera ya vikwazo na kusababisha matatizo na masaibu kwa nusu ya watu wote duniani.
-
Nusu ya Wamarekani wanapinga kutumwa silaha Ukraine
Sep 28, 2022 22:51Uchunguzi mpya wa maoni umebaini kuwa, karibu nusu ya Wamarekani wanapinga kutuma misaada ya kijeshi ya Marekani kwa Ukraine.
-
Moscow: Marekani inaichochea Russia itumie silaha za nyuklia
Sep 28, 2022 07:15Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa, Marekani inafanya vituko ambavyo vinaonesha wazi kuwa lengo lake ni kuichochea Russia itumie silaha za nyuklia.
-
"Ni kinaya kwa wenye uraibu wa vikwazo kudai wanawahurumia Wairani"
Sep 28, 2022 04:44Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekosoa undumakuwili wa Marekani ambayo inadai kuwa ina huruma na mapenzi na wananchi wa Iran, wakati ambapo imeliwekea taifa hili vikwazo shadidi.
-
Vikwazo vya Marekani vinazuia kupelekwa misaada ya kibinadamu Somalia
Sep 28, 2022 04:36Shirika moja la kibinadamu limesema vikwazo vya Marekani vya 'kupambana na ugaidi' vimekwamisha shughuli za kuwafikishia wananchi wa Somalia misaada ya kibinadamu.
-
Kuongezeka maradufu bajeti ya kijeshi ya UK, kushiriki London kwenye chokochoko za kijeshi za Washington
Sep 26, 2022 22:42Licha ya Uingereza kukumbwa na mgogoro wa kiuchumi baada ya janga la corona na kupungua thamani ya sarafu ya nchi hiyo, lakini London imeamua kuongeza maradufu bajeti yake ya matumizi makubwa ya kijeshi.
-
Kombora jipya la Korea Kaskazini na kiwingu kizito cha vita Kusini Mashariki mwa Asia
Sep 26, 2022 04:50Hatua ya Korea Kaskazini ya kufanyia majaribio kombora lake jipya kuelekea upande wa Bahari ya Japan imepokewa kwa hisia kali na nchi mbili za Japan na Korea Kusini.