Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Sheikh Naim Qassim: Iran iliwasaidia wananchi wa Lebanon, lakini Marekani inawaadhibu

    Sheikh Naim Qassim: Iran iliwasaidia wananchi wa Lebanon, lakini Marekani inawaadhibu

    Sep 24, 2022 23:13

    Naibu Katibu Mku wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Iran ilikuwa pamoja na wananchi wa Lebanon katika matatizo na masaibu na iliwasaidia, lakini Marekani inawaadhibu.

  • Upinzani wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa kundi la Marafiki wa Kutetea Hati ya Umoja wa Mataifa dhidi ya vikwazo vya upande mmoja

    Upinzani wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa kundi la Marafiki wa Kutetea Hati ya Umoja wa Mataifa dhidi ya vikwazo vya upande mmoja

    Sep 24, 2022 22:42

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Kundi la Marafiki wa Kutetea Hati ya Umoja wa Mataifa wamedhihirisha upinzani wao dhidi ya vikwazo vya upande mmoja, na kusisitiza juu ya kuheshimiwa mamlaka, ardhi na kujitawala kwa nchi huru. Mawaziri hao wamesisitiza hilo katika mkutano wao uliofanyika kando ya kikao cha 77 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mnamo Septemba 22 huko New York.

  • Iran yajibu matamshi ya kifidhuli ya waziri wa mambo ya nje wa Marekani

    Iran yajibu matamshi ya kifidhuli ya waziri wa mambo ya nje wa Marekani

    Sep 24, 2022 03:43

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametumia mtandao wa kijamii wa Twitter kujibu matamshi ya kifidhuli ya waziri wa mambo ya nje wa Marekani aliyejipa uthubutu wa kukosoa kile alichodai ni haki za binadamu nchini Iran.

  • Hotuba ya Biden katika Umoja wa Mataifa na lawama zisizo na msingi kuhusu masuala mbalimbali

    Hotuba ya Biden katika Umoja wa Mataifa na lawama zisizo na msingi kuhusu masuala mbalimbali

    Sep 23, 2022 03:33

    Katika hotuba yake kwenye Baraza Kuu la 77 la Umoja wa Mataifa siku ya Jumatano, Rais Joe Biden wa Marekani aliashiria masuala mbalimbali na kufafanua msimamo wa Washington kuhusu masuala hayo.

  • Ebrahim Raisi: Wapalestina ndio wenye haki ya kuishi katika ardhi za Palestina

    Ebrahim Raisi: Wapalestina ndio wenye haki ya kuishi katika ardhi za Palestina

    Sep 19, 2022 02:56

    Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, wananchi wa Palestina ndio wenye haki ya kujiamulia wenyewe mustakbali wao na ndio wenye haki ya kuishi katika ardhi hizo.

  • Kutochapishwa ripoti ya mateso ya CIA kwa kisingizio cha tishio kwa usalama wa taifa wa Marekani

    Kutochapishwa ripoti ya mateso ya CIA kwa kisingizio cha tishio kwa usalama wa taifa wa Marekani

    Sep 18, 2022 21:55

    Ripoti ya Seneti ya Marekani kuhusu mpango wa kikatili wa utesaji na kuwahoji washukiwa wa ugaidi wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) chini ya anwani "Programu ya Kuhoji Iliyoboreshwa" haitachapishwa kwa sasa.

  • Aghalabu ya Wademocrat wanatilia shaka iwapo Biden atagombea urais 2024

    Aghalabu ya Wademocrat wanatilia shaka iwapo Biden atagombea urais 2024

    Sep 18, 2022 03:40

    Akthari ya wafuasi na wanachama wa chama cha Democrat nchini Marekani wametilia shaka uwezekano wa Rais Joe Biden wa nchi hiyo wa kugombea muhula wa pili katika uchaguzi ujao wa rais wa mwaka 2024.

  • Rais Putin: Kampuni kubwa 80 za Russia kwenda Iran wiki ijayo

    Rais Putin: Kampuni kubwa 80 za Russia kwenda Iran wiki ijayo

    Sep 15, 2022 23:37

    Rais Vladmir Putin wa Russia amesema Moscow imefanya kila iwezalo kuhakikisha kuwa Iran inakua mwanachama kamili wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO).

  • Marekani yapiga ngoma ya vita kwa kuipa Taiwan 'msaada' wa kijeshi

    Marekani yapiga ngoma ya vita kwa kuipa Taiwan 'msaada' wa kijeshi

    Sep 15, 2022 23:32

    Bunge la Seneti la Marekani limepasisha muswada wa sheria inayotaka Taiwan kupewa msaada wa kijeshi wa mabilioni ya dola, hatua inayotazamiwa kuighadhabisha China.

  • Utafiti: Akthari ya Wamarekani wanasema Biden ameligawa taifa

    Utafiti: Akthari ya Wamarekani wanasema Biden ameligawa taifa

    Sep 15, 2022 23:31

    Aghalabu ya wapigakura nchini Marekani wanaamini kuwa, Rais Joe Biden wa nchi hiyo amewagawa Wamarekani katika utawala wake, badala ya kuwaunganisha.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS