-
Iran: Muafaka utapatikana Marekani ikizingatia uhalisia wa mambo
Sep 14, 2022 03:25Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa, ikiwa Marekani itazingatia uhalisia wa mambo, basi makubaliano mazuri, imara na ya kudumu yanaweza kufikiwa kwa uungaji mkono wa pande zote katika mazungumzo ya Vienna.
-
Marekani kuiwekea vikwazo China ili 'kuzuia' kuvamiwa Taiwan
Sep 14, 2022 03:04Marekani imeripotiwa kuwa inatafakari kuiwekea China vikwazo ili kuzuia eti mashambulizi tarajiwa ya kijeshi ya Beijing dhidi ya kisiwa cha Taiwan.
-
Ombi la kuilazimisha Marekani itimize wajibu wake wa uenyeji wa Umoja wa Mataifa
Sep 13, 2022 00:56Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema katika mahojiano kwamba Marekani na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres wana wajibu wa kuhakikisha ushiriki wa wawakilishi wote wa nchi wanachama katika mikutano ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa unatimia.
-
Kupenda vita Marekani duniani; urithi wa tukio la Septemba 11
Sep 12, 2022 03:51Jumapili ya jana tarehe 11 Septemba ilisadifiana na kutimia miaka 21 tangu kutokea mashambulio ya kigaidi ya Septemba 11 ambapo hadi sasa Marekani ingali imeshughulishwa na matokeo ya tukio hili lenye kuainisha hatima.
-
Zaidi ya thuluthi moja ya Wamarekani hawawezi kukidhi mahitaji ya awali ya maisha
Sep 11, 2022 03:13Matokeo ya utafiti wa taasisi ya uchunguzi ya Marekani yanaonyesha kuwa zaidi ya theluthi moja ya familia za Marekani hazina pato la kutosha kulipia gharama za kimsingi za maisha ya familia zao.
-
Mauzo ya silaha za Marekani yaongezeka katika utawala wa Biden
Sep 09, 2022 21:53Marekani imeendelea kushika nafasi ya kwanza duniani kwa kutumia fedha nyingi kwa ajili ya bajeti ya masuala ya kijeshi, huku mauzo ya silaha za nchi hiyo yakiongezeka mno katika utawala wa Rais Joe Biden.
-
Wamarekani waandamana dhidi ya vitendo vya Wazayuni huko Palestina
Sep 09, 2022 07:48Wamarekani wamefanya maandamano katika baadhi ya miji ya nchi hiyo wakilaani jinai na hatua za utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina.
-
Kwa nini Biden amekataa kuitangaza Russia kuwa ni nchi inayofadhili ugaidi?
Sep 08, 2022 22:15Msemaji wa Ikulu ya Rais wa Marekani, White House, Karine Jean-Pierre alitangaza Jumanne wiki hii kwamba uamuzi wa Joe Biden wa kutoitangaza Russia kuwa ni mfadhili ugaidi ni wa mwisho.
-
Moto wa msituni wasababisha maelfu bila ya makazi na kufungwa skuli California
Sep 07, 2022 03:22Moto ulioibuka katika misitu jimboni California nchini Marekani umepelekea maelfu ya watu kusalia bila ya makazi sambamba na kufungwa skuli katika jimbo hilo.
-
Seneta Murray: Demokrasia ipo hatarini nchini Marekani
Sep 05, 2022 21:44Seneta Patty Murray wa Marekani amesema kwamba demokrasia ya nchi hiyo imo hatarini, huku akitetea hotuba tata iliyotolewa na Rais Joe Biden wiki iliyopita.