-
Iran: Marekani iwajibishwe kwa matatizo yanaoikumba Afghanistan
Nov 10, 2021 10:56Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani na waitifaki wake wanapaswa kubebeshwa dhima kutokana na migogoro na matatizo mengine yanayoshuhudiwa hii leo nchini Afghanistan.
-
Mwanahabari wa Marekani ashitakiwa kwa ugaidi Myanmar
Nov 10, 2021 10:53Mwandishi wa habari wa Marekani ambaye anazuiliwa na vyombo vya usalama nchini Myanmar kwa miezi kadhaa sasa amefunguliwa mashitaka ya ugaidi na uhaini, na yumkini akahukumiwa kifungo cha maisha jela.
-
Madai ya Marekani ya kuwa na wasiwasi kuhusu mashambulio ya kundi la kigaidi la Daesh nchini Afghanistan
Nov 09, 2021 23:08Thomas West, mjumbe maalumu wa Marekani katika masuala Afghanistan amedai kuwa, Washington ina wasiwasi na suala la kuongezeka hujuma na mashambulio ya makundi yenye mfungamano na kundi la Daesh na uwepo wenye kuendelea wa mtandao wa kigaidi wa al-Qaeda.
-
Khatibzadeh: Kwa kuondoka Marekani nchini Iraq, amani na usalama wa nchi hiyo utapatikana
Nov 08, 2021 07:55Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, endapo Marekani itaondoka nchini Iraq, amani na uthabiti wa nchi hiyo ya Kiarabu utapatikana.
-
Madai ya White House: Tutarejea katika mapatano ya JCPOA iwapo Iran itafanya hivyo
Nov 08, 2021 04:37Jake Sullivan Mshauri wa Usalama wa Taifa wa serikali ya Marekani kulingana na madai ya Washington kwa mara nyingine tena amedai kuwa eti kama Iran itarejea katika mapatano ya JCPOA nayo pia itafanya hivyo.
-
Waethiopia wailaani Marekani kwa kuingilia masuala ya ndani ya nchi yao
Nov 07, 2021 23:15Wananchi wa Ethiopia wamefanya maandamano makubwa ya kutangaza uungaji mkono wao kwa serikali ya Waziri Mkuu, Abiy Ahmed na jeshi la nchi hilo linalokabiliana na waasi wa eneo la Tigray; huku wakiikosoa Marekani kwa kuingilia masuala ya ndani ya nchi yao.
-
Changamoto zinazomkabili Biden mwaka mmoja baada ya kushinda uchaguzi wa rais Marekani
Nov 07, 2021 23:12Mwaka mmoja baada ya kushinda uchaguzi wa rais na miezi 10 tangu alipoapishwa kushika usukani wa kuiongoza Marekani, Joe Biden anasumbuliwa na changamoto nyingi. Sambamba na hayo takwmu za karibuni zinaonesha kuwa, asilimia ya Wamarekani wanaoridhishwa na utendaji wa Biden imeporomoka na kwenda chini ya 45.
-
Serikali ya Biden yaidhinisha mauzo ya silaha kwa Saudi Arabia
Nov 06, 2021 12:17Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Marekani imeidhinisha mauzo ya makombora yenye thamani ya dola milioni 650 kwa Saudi Arabia.
-
Dalili za kupungua nafasi ya Marekani Asia Magharibi
Nov 05, 2021 23:56Tarehe 4 Novemba imetengwa katika kalenda ya Iran kuwa siku ya mapambano dhidi ya uistikabari wa dunia (ubeberu/ujeuri)
-
Al Houthi: Uuzaji wa silaha za Marekani kwa Saudia ni mwendelezo wa jina dhidi ya taifa la Yemen
Nov 05, 2021 09:19Mjumbe wa Baraza Kuu la Siasa la Yemen amesema kuwa hatua ya Rais Joe Biden wa Marekani ya kuidhinisha mauzo ya makombora kwa Saudi Arabia inakinzana waziwazi na wito wa kuwepo suluhu na amani nchini Yemen na inaunga mkono muungano vamizi unaoendelea kufanya mashambulizi dhidi ya watu wa Yemen.