Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Marekani yaafiki kuiuzia Saudi Arabia makombora yatakayogharimu dola milioni 650

    Marekani yaafiki kuiuzia Saudi Arabia makombora yatakayogharimu dola milioni 650

    Nov 05, 2021 04:17

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imesema nchi hiyo imeafiki ombi la Saudi Arabia la kuuziwa makombora ya anga kwa anga pamoja na zana zinazohusika kwa thamani ya dola milioni 650.

  • Timothy Langan: Ubaguzi wa rangi na wa kimbari unatishia Marekani zaidi kuliko Daesh

    Timothy Langan: Ubaguzi wa rangi na wa kimbari unatishia Marekani zaidi kuliko Daesh

    Nov 04, 2021 20:24

    Maafisa wa usalama wa Marekani wameiandikia barua Kongresi ya nchi hiyo wakisema kuwa, ukatili na ubaguzi wa rangi na wa kimbari ni tishio kubwa zaidi kwa nchi hiyo kuliko mashambulizi ya kigaidi ya makundi yenye misimamo ya kufurutu mipaka kama Daesh.

  • Kukosoa Uturuki utendaji wa Umoja wa Ulaya ulio dhidi ya Uislamu

    Kukosoa Uturuki utendaji wa Umoja wa Ulaya ulio dhidi ya Uislamu

    Nov 04, 2021 20:23

    Ukosoaji mtawalia wa viongozi wa Uturuki dhidi ya Umoja wa Ulaya hususan sera za chuki dhidi ya Uislamu za umoja huo, zinapaswa kutathminiwa kama juhudi za Ankara za kukabiliana na sera za madola ya Magharibi dhidi ya serikali ya Rais Recep Tayyip Erdogan na kuimarisha wenzo wa kuishinikiza jumuiya hiyo ya Ulaya.

  • Rais Raisi: Uharamia wa Marekani wa kuiba mafuta ya Iran ni kitendo cha aibu

    Rais Raisi: Uharamia wa Marekani wa kuiba mafuta ya Iran ni kitendo cha aibu

    Nov 04, 2021 08:34

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, wizi wa mafuta ulioyofanywa na Marekani katika Bahari ya Oman ni kitendo cha aibu na fedhena.

  • Mwangwi wa dharba ya IRGC dhidi ya jeshi ya Marekani, vyombo vya habari vya US vyafyata mkia

    Mwangwi wa dharba ya IRGC dhidi ya jeshi ya Marekani, vyombo vya habari vya US vyafyata mkia

    Nov 04, 2021 04:23

    Kushiindwa kwa jeshi la Marekani mbele ya operesheni makini ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika maji ya Bahari ya Oman kumeibua mwangwi mkubwa katika vyombo vya habari vya kimataifa.

  • Sheikh Naeem Qasim: Juhudi za Marekani za kuanzisha Mashariki ya Kati Mpya zimefeli

    Sheikh Naeem Qasim: Juhudi za Marekani za kuanzisha Mashariki ya Kati Mpya zimefeli

    Nov 04, 2021 04:22

    Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah nchini Lebanon amesema kuwa uvamizi wa Marekani nchini Syria na juhudi za nchi hiyo za kutaka kuanzisha Mashariki ya Kati Mpya zimefeli na kugonga mwamba.

  • Kuanza Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi huko Glasgow; shaka na mazingatio katika mkutano huo

    Kuanza Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi huko Glasgow; shaka na mazingatio katika mkutano huo

    Nov 03, 2021 07:48

    Mkutano kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi wa Umoja wa Mataifa (COP26) ulianza shughuli zake juzi Jumatatu katika mji wa Glasgow nchini Scotland kwa kuhudhuriwa na wakuu wa nchi zaidi ya 100 na viongozi wengine wa ngazi za juu wa nchi mbalimbali duniani.

  •  Boris Johnson ajiunga na Biden, watwanga usingizi katikati ya mkutano wa tabianchi, Glasgow

    Boris Johnson ajiunga na Biden, watwanga usingizi katikati ya mkutano wa tabianchi, Glasgow

    Nov 03, 2021 07:18

    Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson amejiunga na Rais wa Marekani Joe Biden na kutwanga usingizi mfupi wakati wa vikao vya Mkutano wa Hali ya Hewa unaofanyika Glasgow huko Scotland.

  • Khatibzadeh: Vitisho haviwezi kuzaa matunda mbele ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

    Khatibzadeh: Vitisho haviwezi kuzaa matunda mbele ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

    Nov 03, 2021 04:14

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameandika katika mtandao wa kijamii wa Twitter kujibu matamshi ya waziri wa mambo ya nje wa Marekani, Antony Blinken aliyedai kuwa Washington inatafuta machaguo mengine ya kukabiiana na Iran na ameandika: Vitisho kamwe havijawahi kuzaa matunda mbele ya Iran.

  • Mazungumzo ya Biden na Macron, juhudi za Washington za kuimarisha uhusiano na Paris

    Mazungumzo ya Biden na Macron, juhudi za Washington za kuimarisha uhusiano na Paris

    Oct 31, 2021 07:05

    Ijumaa Rais Joe Biden wa Marekani alikutana na kuzungumza na mwenzake wa Ufaransa Rais Emmanuel Macron kuhusu mkataba wa mauzo ya nyambizi kati ya Washington na Canberra, ambao umeikasirisha sana Paris.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS