-
Iran yalaani vikwazo vipya ilivyowekewa na Marekani
Oct 30, 2021 04:35Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikwazo vipya vilivyowekwa na Marekani na akasema mashinikizo na vikwazo hivyo havitateteresha hata chembe azma ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ya kulinda amani na usalama wa watu wake.
-
Taliban yatoa indhari juu ya hatari ya kuanzishwa vituo vya kijeshi vya Marekani na NATO katika eneo
Oct 30, 2021 03:53Taliban imetahadharisha kuwa, kuanzishwa vituo vya kijeshi vya Marekani na vya shirika la kijeshi la Magharibi NATO katika nchi jirani ni hatari kwa mataifa yote.
-
China; changamoto kubwa zaidi ya Marekani ya 'jeostratijia'
Oct 29, 2021 05:14Mkuu wa majeshi ya Marekani, Mark Milley amesema kuwa, ametiwa wasiwasi na jaribio la hivi karibuni la kombora la kisasa la China linalozidi kasi ya sauti.
-
Riyadh yaomba msaada wa silaha wa Marekani ili kukabiliana na mashambulizi ya jeshi la Yemen
Oct 29, 2021 00:17Ripoti imefichua kuwa Saudi Arabia imeiomba Marekani iipatie silaha ili iboreshe mifumo yake ya makombora na hivyo kuweza kukabiliana na mashambulizi ya jeshi la Yemen.
-
Uchunguzi wa maoni: Akthari ya wanajeshi wa Marekani hawako tayari kuingia vitani
Oct 27, 2021 22:49Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanywa ndani ya jeshi la Marekani unaonyesha kuwa, ni mtu mmoja pekee kati ya kila wanajeshi saba ndiye yuko tayari kuelekea vitani.
-
Mwito wa Imran Khan wa kuitaka Marekani iache kuzikalia mali za Afghanistan
Oct 27, 2021 22:45Waziri Mkuu wa Pakistan, Imran Khan ameitaka Marekani iache kuzikalia mali za Afghanistan na irejeshe mali hizo zinazoshikiliwa na mabenki ya Marekani.
-
Iran na EU zajadili namna ya kuondolewa vikwazo vyote haramu katika JCPOA
Oct 27, 2021 10:28Ofisi ya uwakilishi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Ulaya imetangaza kuwa, kuondolewa vikwazo vyote haramu na visivyo vya kisheria ilivyoekewa Iran ndio ajenda kuu ya mazungumzo ya Brussels kati ya Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa na mratibu wa kamisheni ya pamoja ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Wamarekani ni miongoni mwa watu wenye manung'uniko makubwa kwa serikali yao
Oct 27, 2021 09:31Uchunguzi mpya wa maoni uliofanywa na kituo cha utafiti cha Pew kuhusu nchi zilizoendelea kiuchumi duniani unaonyesha kuwa Wamarekani ni miongoni mwa watu wasioridhishwa na utendaji na wana manung'uniko makubwa kwa serikali yao.
-
Newsweek: Maelfu ya makombora ya Marekani yanayovuka bara yanatishia amani ya dunia
Oct 27, 2021 00:36Jarida la Marekani la Newsweek limeashiria ongezeko la vichwa vya nyuklia duniani na kuandika kuwa, maelfu ya makombora ya Marekani yenye uwezo wa kuvuka bara ni tishio kwa amani ya dunia.
-
Madai ya Ufaransa kuhusu miradi ya nyuklia ya Iran, kuendelezwa sera za kindumakuwili za Ulaya
Oct 23, 2021 22:55Sambamba na mkutano wa Ijumaa ya wiki hii baina ya wawakilishi wa Marekani na nchi za Ulaya uliofanyika mjini Paris, Ufaransa imeitaka Iran ipunguze shughuli zake za kuzalisha nishati ya nyuklia.