-
Misimamo ya maafisa wa serikali ya Biden kuhusu Iran; kurudiwa misamiati ile ile ya zamani
Jan 20, 2021 23:40Sherehe za kutawazwa Joseph Robinette Biden Jr. kuwa rais wa 46 wa Marekani zimefanyika katika hali ambayo, Jumanne, tarehe 19 Januari 2021, maafisa wa ngazi za juu wa serikali yake walitumia kikao cha Baraza la Sanate la nchi hiyo kutangaza misimamo yao kuhusu Tehran na masuala yanayohusiana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Uganda yaikosoa Marekani kwa kuingilia siasa zake za ndani
Jan 19, 2021 23:41Uganda imeikosoa vikali Marekani kwa kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
-
Jumbe za kimataifa za kupinga tuhuma za ugaidi za Marekani dhidi ya Ansarullah ya Yemen
Jan 18, 2021 23:05Hivi karibuni Mike Pompeo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani alitangaza kuwa serikali ya Rais Donald Trump imeijulisha rasmi Congress ya nchi hiyo kuwa imeliweka kundi la mapambano ya Kiislamu la Ansarullah la nchini Yemen katika orodha ya makundi yanayotuhumiwa kuunga mkono ugaidi, uamuzi ambao umekabiliwa na upinzani mkali wa kimataifa.
-
Jenerali Baqeri: Marekani inaogopa uwezo wa kiulinzi wa Iran
Jan 18, 2021 10:58Kamanda wa Vikosi vya Ulinzi vya Iran amesema harakati na mienendo ya Marekani katika eneo la Asia Magharibi haina thamani yoyote ya kioperesheni, na badala yake inaonesha wazi namna dola hilo la kibeberu linatiwa kiwewe na uwezo mkubwa wa kujihami wa Jamhuri ya Kiislamu.
-
Mbali na mafuta, Marekani sasa inaiba mazao ya mashamba ya Wasyria
Jan 18, 2021 08:26Sambamba na kuendelea wizi wa mafuta ya Syria unaofanywa na wanajeshi magaidi wa Marekani, askari hao vamizi sasa wameanza kupora mazao ya mashamba ya wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Meya wa Washington DC atahadharisha kujiri mashambulizi katika mji mkuu huo
Jan 18, 2021 04:51Meya wa mji mkuu wa Marekani ametahadharisha juu ya kujiri mashambulizi katika maeneo mbalimbali ya Washington DC na katika majimbo mengine ya nchi hiyo.
-
Iran yaitahadharisha Marekani kuhusu ndege za kivita aina ya B-52
Jan 18, 2021 01:19Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif ameashiria uwepo wa ndege za kivita za Marekani aina ya B-52 katika eneo la Asia Magharibi na kuonya kuwa, Iran haitasita kutungua chombo chochote kinachokiuka anga yake.
-
Mabadiliko katika stratijia ya kijeshi ya Marekani Asia Magharibi
Jan 18, 2021 01:19Marekani imetoa huduma kubwa kwa utawala haramu wa Israel katika kipindi cha utawala wa Rais Donald Trump wa Marekani.
-
Mkuu wa Al-Hashdu-Sha'abi: Askari wa Marekani lazima waondoke Iraq
Jan 18, 2021 01:17Mkuu wa Al-Hashdu-Sha'abi ya Iraq amesisitiza ulazima wa kutekelezwa mpango uliopitishwa na bunge wa kutaka askari wa jeshi la Marekani waondoke nchini humo.
-
Mgogoro wa uongozi Marekani, mtu mmoja akamatwa na silaha na risasi 500 haramu Washington DC
Jan 17, 2021 09:50Polisi ya Upelelezi ya Marekani FBI imemtia mbaroni mtu mmoja akiwa na silaha na risasi 500 haramu katika mji mkuu wa nchi hiyo, Washington.