-
Mahakama Marekani: Uchunguzi ufanyike kuhusu hali isiyo ya kibinadamu ya watoto wahajiri nchini humo
Dec 04, 2020 01:06Mahakama moja nchini Marekani imetaka kufanyika uchunguzi kuhusu watoto waliohajiri nchini humo na kisha kutenganishwa na familia zao.
-
Madai ya kukaririwa ya Ulaya kuunga mkono JCPOA; nara tupu zisizofungamana na vitendo
Dec 03, 2020 20:45Licha ya kuwa baada ya kujitoa marekani katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia maarufu kama JCPOA, nchi za Ulaya zimekuwa na utendaji hasi na dhaifu katika kulinda na kutekeleza ahadi zao kuhusu mapatano hayo, lakini zingali zinadai kwamba zinaendelea kuyalinda.
-
Iran yataka mshikamano wa dunia katika kukabiliana na hatua za kimabavu
Dec 03, 2020 01:08Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Iran katika taasisi za kimataifa mjini Vienna, Austria ametoa wito kwa jamii ya kimataifa kuwa na mshikamano katika kukabiliana na hatua za kimabavu za upande mmoja.
-
Rais Rouhani: Marekani haina budi kusalimu amri mbele ya muqawama wa taifa la Iran
Dec 02, 2020 07:40Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kushindwa 'siasa za Marekani za mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa' ni jambo ambalo linaifanya serikali mpya ijayo nchini humo isiwe na budi ila kusalimu amri mbele ya muqawama na kusimama kidete taifa hili la Kiislamu.
-
Mauaji ya kiuoga ya mwanasayansi wa Iran na wajibu wa taasisi za kimataifa
Nov 30, 2020 01:05Ikiwa ni katika kudumisha hatua zake za kijinai na kigaidi dhidi ya taifa la Iran, Ijumaa tarehe 27 Novemba utawala wa Kizayuni wa Israel ulitekeleza mauaji mengine ya kigaidi dhidi ya Mohsen Fakhrizadeh, mwanasayansi bora na mashuhuri wa Iran, katika mji wa Abesard, mkoani Tehran.
-
Zakharova: Safari ya Pompeo katika miinuko ya Golan inayokaliwa kwa mabavu huko Syria ni upuuzaji wa sheria za kimataifa
Nov 28, 2020 01:13Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia ameitaja safari ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani katika miinuko ya Golan inayokaliwa kwa mabavu huko Syria kuwa ni ishara ya hatua za upuuzaji wa sheria za kimataifa unaofanywa na Washington.
-
Biden kuajiri wahudumu wa afya laki moja kufuatilia watu wenye maambukizi ya corona
Nov 28, 2020 01:07Vyombo vya habari vya Marekani vimeripoti kuwa, Joe Biden ana mpango katika serikali yake ijayo nchini humo kuajiri wahudumu wa afya wapya laki moja kwa lengo la kuwafuatilia wale wote wenye maambukizi ya virusi vya corona.
-
Kukosolewa madola ya Magharibi kwa kufanya njama za kuzusha machafuko Russia na Belarus
Nov 27, 2020 23:55Sergey Lavrov, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia ameyatuhumu madola ya Magharibi mwamba, yanaingilia masuala ya ndani ya Russia na Belarus na kuyalaumu pia kwa kutekeleza vikwazo vya upande mmoja na kuwachochea wananchi wa mataifa hayo ili waanzishe vurugu na machafuko.
-
Watu wa Trump wawatishia kifo wafanyakazi wa kampuni iliyohusika na uchaguzi Marekani
Nov 27, 2020 03:19Wafanyakazi wa shirika moja lililohusika na uendeshaji wa uchaguzi nchini Marekani kwa muda sasa wamekuwa wakinyanyaswa na kutishiwa kifo, tangu rais wa nchi hiyo, Donald Trump alipoanza kudai kuweko uchakakachuaji wa kura na udanganyifu mkubwa katika uchaguzi wa Novemba 3, 2020 nchini humo.
-
Foreign Policy: Iran ni imara zaidi ya walivyofikiria Marekani na Israel
Nov 26, 2020 23:14Gazeti moja la Marekani limetangaza kuwa, White House na utawala wa Kizayuni wa Israel walikosea katika mahesabu yao kuhusiana na Iran kwani Tehran ni imara zaidi ya walivyodhani viongozi wa Marekani katika siasa zao za kuliweketa taifa la Iran vikwazo vya kiwango cha juu kupindukia.