Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • 'Uhuru wa kujieleza'; Pentagon yawaadhibu askari wa US kwa 'kutoa maoni'

    'Uhuru wa kujieleza'; Pentagon yawaadhibu askari wa US kwa 'kutoa maoni'

    Sep 16, 2025 08:05

    Wizara ya Vita ya Marekani (Pentagon) imetangaza kuwachukulia hatua za kinidhamu wanajeshi wa nchi hiyo wanaodaiwa kukejeli na kufanyia istihzai mauaji ya mfuasi sugu wa Rais Donald Trump.

  • Iran yatwaa taji la ubingwa wa dunia wa Miereka 2025, yaziacha nyuma Russia na Marekani

    Iran yatwaa taji la ubingwa wa dunia wa Miereka 2025, yaziacha nyuma Russia na Marekani

    Sep 16, 2025 03:18

    Timu ya taifa ya mchezo wa miereka aina ya Freestyle ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Mashindano ya Dunia ya Miereka ya mwaka 2025 yanayofanyika mjini Zagreb, Croatia kwa kunyakua jumla ya medali tano na kulitwaa taji hilo kabla ya muda wa mashindano kumalizika.

  • Waziri wa Ulinzi wa Venezuela aonya askari wa US: Msiwe wapumbavu

    Waziri wa Ulinzi wa Venezuela aonya askari wa US: Msiwe wapumbavu

    Sep 15, 2025 07:50

    Waziri wa Ulinzi wa Venezuela, Vladimir Padrino López amelaani kitendo cha Marekani cha kupeleka vikosi vyake vya majini kwenye visiwa vya Caribbean kwa kisingizio kupambana na ulanguzi wa dawa za kulevya, akisisitiza kuwa lengo halisi la Washington ni kuangusha serikali halali ya Rais Nicolas Maduro.

  • Maseneta wa US: Israel inaangamiza kizazi Ghaza na Marekani ni mshirika, dunia lazima ikomeshe

    Maseneta wa US: Israel inaangamiza kizazi Ghaza na Marekani ni mshirika, dunia lazima ikomeshe

    Sep 14, 2025 07:18

    Maseneta wawili waandamizi wa Marekani wameishutumu Israel kwa kutekeleza kampeni ya maangamizi ya kizazi katika Ukanda wa Ghaza na kubainisha kwamba Marekani inashiriki katika jinai hiyo na kwamba dunia lazima ichukue hatua kukomesha jambo hilo.

  • Seneta Cruz ataka US ama iitambue Ikhwanul Muslimin kuwa kundi la kigaidi au iwaue wanachama wake

    Seneta Cruz ataka US ama iitambue Ikhwanul Muslimin kuwa kundi la kigaidi au iwaue wanachama wake

    Sep 12, 2025 06:57

    Ted Cruz, Seneta wa Marekani wa jimbo la Texas kwa tiketi ya chama tawala cha Republican amesema, wakati umewadia kwa Marekani kuitambua harakati ya Kiislamu ya Ikhwanul Muslimin kuwa ni shirika la kigaidi, kwa sababu hiyo ndiyo hatua mbadala ya kuwaua wanachama na washirika wa harakati hiyo.

  • HAMAS: Pendekezo la Marekani halilengi kumaliza vita vya Ghaza

    HAMAS: Pendekezo la Marekani halilengi kumaliza vita vya Ghaza

    Sep 09, 2025 07:34

    Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS, Bassem Naim amesema, mapendekezo ya awali yaliyowasilishwa na Marekani lengo lake lilikuwa ni kutaka yakataliwe, na si kuweza kufikiwa makubaliano ya kumaliza vita, kuhakikisha vikosi vamizi vinaondoka kikamilifu huko Ghaza na kutekelezwa mabadilishano ya wafungwa.

  • Kwa nini UN imetoa wito wa kuondolewa vikwazo vya Marekani dhidi ya makundi ya kutetea haki za binadamu ya Palestina?

    Kwa nini UN imetoa wito wa kuondolewa vikwazo vya Marekani dhidi ya makundi ya kutetea haki za binadamu ya Palestina?

    Sep 08, 2025 05:28

    Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, amekosoa vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya makundi ya kutetea haki za binadamu ya Palestina, na kutoa wito wa kuondolewa mara moja.

  • Je, China imejibu vipi tuhuma za Trump?

    Je, China imejibu vipi tuhuma za Trump?

    Sep 07, 2025 03:19

    Ikiwa ni katika kujibu madai ya Trump, China imetangaza kwamba kupanua ushirikiano wake na nchi nyingine sio tishio kwa nchi yoyote ya tatu.

  • Hasira za nchi za Magharibi kuhusu Mkutano wa Shanghai na mjumuiko wa madola yanayoibukia

    Hasira za nchi za Magharibi kuhusu Mkutano wa Shanghai na mjumuiko wa madola yanayoibukia

    Sep 06, 2025 08:32

    Viongozi wa Marekani na Umoja wa Ulaya wamekasirishwa na mkutano wa kilele wa Shanghai na mkusanyiko wa nchi hasimu za Magharibi

  • Trump abadilisha jina la wizara ya ulinzi ya Marekani, sasa itaitwa 'Wizara ya Vita'

    Trump abadilisha jina la wizara ya ulinzi ya Marekani, sasa itaitwa 'Wizara ya Vita'

    Sep 06, 2025 02:48

    Rais Donald Trump wa Marekani ametia saini amri ya utekelezaji ya kubadilisha jina la wizara ya ulinzi ya nchi hiyo na kuwa 'Wizara ya Vita', jina ambalo litatumika katika taarifa zote za utendaji za serikali.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS