Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • "Vikwazo vya Marekani, Ulaya vimeua watu milioni 38 tangu 1970"

    Sep 04, 2025 04:12

    Tahariri iliyoandikwa na tovuti ya habari ya kanali ya televisheni ya al-Jazeera ya Qatar imekosoa muenendo wa nchi za Magharibi kutumia vikwazo kuziadhabu nchi zinazozitazama kama maadui; ikieleza kuwa, vikwazo vya Marekani na Umoja wa Ulaya vimeua watu zaidi ya milioni 38 kote duniani tangu 1970.

  • Marekani inafutilia nini katika kuweka vikwazo vipya dhidi ya Iran?

    Marekani inafutilia nini katika kuweka vikwazo vipya dhidi ya Iran?

    Sep 04, 2025 03:51

    Marekani imeweka vikwazo vipya ili kuzuia uuzaji nje wa mafuta ya Iran.

  • Maduro: Tutaitangaza Venezuela 'jamhuri yenye silaha' ikiwa US itatushambulia

    Maduro: Tutaitangaza Venezuela 'jamhuri yenye silaha' ikiwa US itatushambulia

    Sep 02, 2025 03:33

    Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro amesema kuongezeka uwepo wa majeshi ya Marekani katika eneo la Caribbean kunalenga kuipindua serikali yake, na kusisitiza kuwa yuko tayari "kutangaza jamhuri yenye silaha" ikiwa nchi hiyo itashambuliwa na wanajeshi hao wavamizi.

  • Uhalifu wa Magharibi: Jinsi Marekani ilivyowatumia binadamu 5,000 kama panya wa maabara huko Guatemala

    Uhalifu wa Magharibi: Jinsi Marekani ilivyowatumia binadamu 5,000 kama panya wa maabara huko Guatemala

    Aug 31, 2025 02:12

    Uchunguzi wa historia ya elimu na sayansi ya Marekani unaonyesha kuwa mitazamo ya ubaguzi wa rangi dhidi ya binadamu wasio wazungu nchini Marekani imewafanya watafiti nchini humo kuwatumia binadamu, hasa weusi kutoka Afrika na watu maskini, kama panya wa maabara.

  • Kwa nini doria ya kwanza ya pamoja ya nyambizi za Russia na China ni muhimu?

    Kwa nini doria ya kwanza ya pamoja ya nyambizi za Russia na China ni muhimu?

    Aug 29, 2025 23:01

    Doria ya pamoja ya nyambizi za Russia na China imefanyika kwa mara ya kwanza katika eneo la Asia-Pasifiki.

  • Trump afufua tena simulizi za 'Riviera' ya Ghaza katika mkutano na Blair na Kushner

    Trump afufua tena simulizi za 'Riviera' ya Ghaza katika mkutano na Blair na Kushner

    Aug 29, 2025 04:03

    Rais Donald Trump wa Marekani amefufua tena mpango wake wa kuwahamisha Wapalestina wote katika Ukanda wa Ghaza na kuligeuza eneo hilo la ardhi ya Palestina kuwa sehemu ya starehe na burudani alipokutana ikulu ya White House na mkwewe Jared Kushner na waziri mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair ambao wote wawili wanahusishwa na uandaaji wa mpango huo unaotajwa kuwa ni wa kikoloni.

  • Hamas: US ni mshiriki wa jinai za Israel katika Ukanda wa Gaza

    Hamas: US ni mshiriki wa jinai za Israel katika Ukanda wa Gaza

    Aug 28, 2025 22:54

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesema hatua ya Marekani ya kutumia turufu dhidi maazimio ya Umoja wa Mataifa "inaifanya kuwa mshiriki" wa jinai za utawala wa Israel katika Ukanda wa Gaza.

  • Trump dhidi ya Modi: Ni nini matokeo ya kuanza rasmi vita vya ushuru vya Marekani dhidi ya India?

    Trump dhidi ya Modi: Ni nini matokeo ya kuanza rasmi vita vya ushuru vya Marekani dhidi ya India?

    Aug 28, 2025 07:16

    Marekani imeanza kutekeleza ushuru wa asilimia 50 kwa bidhaa zinazoingizwa nchini humo kutoka India.

  • Je, kustawishwa ushirikiano wa Russia na India ni jibu kwa sera ya mashinikizo ya Trump?

    Je, kustawishwa ushirikiano wa Russia na India ni jibu kwa sera ya mashinikizo ya Trump?

    Aug 26, 2025 22:51

    Sambamba na mashinikizo ya utawala wa Trump dhidi ya India ili ipunguze uhusiano wake na Russia, Waziri wa Mambo ya Nje wa India alisafiri hadi Moscow na kukutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Russia Vladimir Putin.

  • Mawaziri wa kizayuni watoa msimamo kuhusu Ghaza:

    Mawaziri wa kizayuni watoa msimamo kuhusu Ghaza: "Wazingireni, waacheni wafe kwa njaa"

    Aug 25, 2025 03:08

    Mawaziri wa utawala wa kizayuni wa Israel wenye misimamo mikali ya chuki wametetea waziwazi hatua ya kuwatesa kwa njaa Wapalestina wa Ukanda wa Ghaza.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS