-
EU yasisitiza kuiunga mkono "kwa dhati" ICC baada ya US kuwawekea vikwazo waendesha mashtaka 2
Aug 25, 2025 03:08Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya amesema "amesikitishwa sana" na uamuzi wa Marekani wa kuwawekea vikwazo maafisa wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC).
-
Je, ushirikiano wa kijeshi wa Marekani na Nigeria unaongeza hatari ya ukiukaji wa haki za binadamu?
Aug 25, 2025 02:23Hivi karibuni Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani ilitangaza kuwa ili kuisaidia Nigeria katika mapambano dhidi ya makundi ya kigaidi, imekubali kuiuzia nchi hiyo silaha zenye thamani ya takriban dola milioni 346.
-
Serikali ya Eswatini inakabiliwa na kesi mahakamani kuhusu watu waliofukuzwa Marekani
Aug 24, 2025 07:24Kundi la mawakili watetezi wa haki za binadamu na taasisi zisizo na kiserikali (NGOs) linaishtaki serikali ya Eswatini kwa kukubali kuwapa hifadhi watu watano waliofukuzwa nchini Marekani.
-
Askari vamizi wa US waanza kuondoka kambi ya Ain al-Asad, Iraq
Aug 23, 2025 02:45Wanajeshi vamizi wa Marekani wameanza kuondoka katika kambi ya anga ya Ain al-Asad katika Mkoa wa Al-Anbar nchini Iraq, hayo ni kwa mujibu wa vyanzo vya habari vya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Kwa nini Rais wa Colombia ametahadharisha kuhusu njama za Marekani za kuigeuza Venezuela kuwa Syria nyingine?
Aug 23, 2025 00:28Rais wa Colombia ametahadharisha kuwa Marekani inaweza kuifanya Venezuela kuwa Syria nyingine.
-
Rais wa Bolivia: US inatumia kisingizo cha 'vita dhidi ya mihadarati' kuidhibiti Amerika ya Latini
Aug 22, 2025 06:33Rais Luis Arce wa Bolivia amelaani hatua iliyochukuliwa hivi karibuni na Marekani ya kutuma wanajeshi wake katika Bahari ya Karibea kusini.
-
Je, Marekani kwa vikwazo vipya dhidi ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) inajiona kuwa juu ya sheria?
Aug 21, 2025 09:31Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imetaja vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya taasisi hiyo kuwa ni shambulio la wazi dhidi ya uhuru wa mahakama.
-
ICC: Vikwazo vya US ni hujuma dhidi ya mamilioni ya wahanga wa jinai
Aug 21, 2025 02:13Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imetumia maneno makali kuilaani Marekani, kwa hatua yake ya hivi karibuni ya kuwawekea vikwazo majaji wa mahakama hiyo, kutokana na juhudi zao za kuwafungulia mashitaka maafisa Marekani na Israel wanaotuhumiwa kuhusika na uhalifu wa kivita na aina nyingine za ukatili.
-
Pezeshkian: Iran, Belarus zimesimama kidete kukabiliana na ubeberu wa US
Aug 20, 2025 09:03Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amesema Marekani na baadhi ya washirika wake wa Magharibi wanalenga kupanua ubeberu na msimamo wa upande mmoja duniani kote, sambamba na kuyaburuza mataifa mengine, akisisitiza kwamba si Iran wala Belarus itavumilia muenendo huo.
-
Kwa nini viongozi wa Ulaya wanaandamana na Zelensky katika safari yake ya Washington?
Aug 18, 2025 23:15Baadhi ya viongozi wa Ulaya, wameamua kuandamana na Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine katika safari yake ya kwenda Washington katika hatua ya kidiplomasia ya kuunga mkono misimamo ya Ukraine katika mazungumzo yake na Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya mashinikizo ya nchi hiyo ya kumtaka akubali haraka makubaliano ya amani.