Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • UN yakanusha madai ya US kwamba inatumia corona kuhamasisha uaviaji mimba

    UN yakanusha madai ya US kwamba inatumia corona kuhamasisha uaviaji mimba

    May 22, 2020 03:27

    Umoja wa Mataifa umekanusha vikali madai ya Marekani kuwa taasisi hiyo ya kimataifa inatumia janga la corona kuhamasisha uaviaji mimba duniani.

  • Russia na Venezuela zakosoa hatua zisizo za kisheria za Marekani

    Russia na Venezuela zakosoa hatua zisizo za kisheria za Marekani

    May 22, 2020 02:00

    Tangu Rais Donald Trump mwenye kashfa nyingi wa Marekani aingie ikulu ya White House ameshadidisha siasa za uhasama dhidi ya Venezuela ambapo pia amefanya njama nyingi za kuiondoa madarakani serikali halali ya Rais Nicolás Maduro wa nchi hiyo sambamba na kuiwekea vikwazo vikali.

  • Trump na Nancy Pelosi washambuliana vikali kwa maneno

    Trump na Nancy Pelosi washambuliana vikali kwa maneno

    May 21, 2020 22:13

    Kwa mara nyingine Rais Doanald Trump wa Marekani ameshambuliana vikali kwa maneno na Nancy Pelosi, Spika la Bunge la Wawakilishi la nchi hiyo.

  • Iran: Mpango wa

    Iran: Mpango wa "Muamala wa Karne" ni ishara ya wazi ya utapeli wa Marekani

    May 21, 2020 01:29

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa, mpango wa Marekani-Israel wa 'Muamala wa Karne" ni ishara ya wazi ya hila na utapeli wa Wamarekani.

  • Indhari ya Josep Borrell kwa Israel kuhusu kuendelea kuzikalia kwa mabavu ardhi za Palestina

    Indhari ya Josep Borrell kwa Israel kuhusu kuendelea kuzikalia kwa mabavu ardhi za Palestina

    May 19, 2020 22:39

    Katika fremu ya malengo yake ya muda mrefu, utawala haramu wa Israel unakusudia kupora sehemu kubwa ya ardhi za Palestina za Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kuziunganisha na ardhi nyingine za Palestina unazozikali kwa mabavu.

  • Kukiri John Bolton juu ya kugonga mwamba siasa za Marekani dhidi ya Venezuela

    Kukiri John Bolton juu ya kugonga mwamba siasa za Marekani dhidi ya Venezuela

    May 19, 2020 05:54

    Vikwazo na mashinikizo ya Marekani dhidi ya Venezuela yanaendelea katika hali ambayo, kivitendo nchi hiyo ya Amerika ya Latini ikipata msaada wa mataifa kama Iran, China na Russia imefanikiwa kuyapatia ufumbuzi akthari ya matatizo yaliyosababishwa na vikwazo vya Washington.

  • Sisitizo la Russia juu ya kutoweza Marekani kurejesha vikwazo vya kimataifa dhidi ya Iran

    Sisitizo la Russia juu ya kutoweza Marekani kurejesha vikwazo vya kimataifa dhidi ya Iran

    May 19, 2020 02:52

    Tarehe 8 Mei 2018, Marekani ilijitoa kijeuri katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia yanayojulikana kwa jina maarufu la JCPOA, lakini hivi sasa inafanya njama kubwa za kujaribu kuzuia utekelezaji wa makubaliano hayo hasa kipengee cha kuondolewa Iran vikwazo vya silaha kwa mujibu wa azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa hapo tarehe 18 Oktoba mwaka huu wa 2020. Hata hivyo wajumbe wa Mashariki wa kundi la 4+1 yaani Russia na China wamepinga vikali njama hizo za Marekani.

  • Mahathir bin Mohamad: Marekani inauza duniani ndege zake za kivita zenye ubovu

    Mahathir bin Mohamad: Marekani inauza duniani ndege zake za kivita zenye ubovu

    May 18, 2020 21:56

    Waziri Mkuu wa zamani wa Malaysia amefichua kwamba serikali ya Marekani iliiuzia nchi hiyo ndege za kivita za F16 huku zikiwa hazina namba maalumu wala vifaa muhimu na kwamba Washington huwa inatekeleza siasa hizo kwa nchi zote za dunia isipokuwa utawala haramu wa Kizayuni.

  • Onyo la Pompeo kwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC katika kuunga mkono utawala wa Israel

    Onyo la Pompeo kwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC katika kuunga mkono utawala wa Israel

    May 18, 2020 04:55

    Tokea aingie madarakani huko White House, Rais Doland Trump amekuwa akichukua hatua zenye utata mkubwa katika kuunga mkono bila masharti yoyote, utawala ghasibu wa Israel kwa madhara ya taifa madhlumu la Palestina, jambo ambalo marais wengine wa zamani wa Marekani walijiepusha kulitekeleza hadharani.

  • Indhari ya António Guterres juu ya taathira hasi ya tofauti za China na Marekani kwenye juhudi za kukabiliana na Corona

    Indhari ya António Guterres juu ya taathira hasi ya tofauti za China na Marekani kwenye juhudi za kukabiliana na Corona

    May 17, 2020 20:02

    Kuenea kwa virusi vya Corona duniani bado kumewafanya watu kuwa wahanga, huku hofu yake ikibainisha kwamba janga hilo litazizidishia matatizo ya kiuchumi na kijamii nchi nyingi za dunia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS