Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Senegal kufunga vituo vyote vya majeshi ya kigeni, ni vilivyosalia vya Ufaransa vilivyoko nchini humo

    Senegal kufunga vituo vyote vya majeshi ya kigeni, ni vilivyosalia vya Ufaransa vilivyoko nchini humo

    Dec 28, 2024 09:40

    Waziri Mkuu wa Senegal Ousmane Sonko amesema, nchi hiyo itafunga kambi zote za kijeshi za kigeni katika ikiwa ni sehemu ya juhudi za serikali za kupitia upya sera ya ulinzi na kuimarisha mamlaka ya kitaifa.

  • Maulamaa wa Yemen wautaka Umma wa Kiislamu kukabiliana na mashambulizi ya Wazayuni na Marekani

    Maulamaa wa Yemen wautaka Umma wa Kiislamu kukabiliana na mashambulizi ya Wazayuni na Marekani

    Dec 25, 2024 00:18

    Maulamaa wa Yemen wameutaka Umma wa Kiislamu kukabiliana na mashambulizi ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Isreal na Marekani huko Gaza, Yemen na pia waungaji mkono wa kigaidi.

  • Kuangushwa ndege ya kivita ya Marekani ya F-18 ni ishara ya kuchanganyikiwa katika mashambulizi ya Yemen

    Kuangushwa ndege ya kivita ya Marekani ya F-18 ni ishara ya kuchanganyikiwa katika mashambulizi ya Yemen

    Dec 25, 2024 00:06

    Kuangushwa kwa ndege ya kivita ya F-18 ya Marekani katika shambulio la angani la hivi karibuni nchini Yemen, kumepelekea kuibuke shaka kuhusu uwezo wa Marekani wa kudhibiti anga ya Marekani na uwezo wake wa kukabiliana na mashambulizi ya makombora na ndege za kivita zisizo na rubani kutoka Yemen.

  • Mchezo mpya wa kuigiza wa serikali wa Biden wa kujisafisha na chuki dhidi ya Uislamu

    Mchezo mpya wa kuigiza wa serikali wa Biden wa kujisafisha na chuki dhidi ya Uislamu

    Dec 23, 2024 23:09

    Wakati Marekani inaendelea kuunga mkono mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala wa Israel huko Gaza, serikali ya Joe Biden imeidhinisha kimaonyesho tu hati ya "Kupambana na Chuki dhidi ya Uislamu" ili kujitakasa bila kutaja mizizi na chanzo cha ukatili na chuki hizo za serikali dhidi ya Waislamu nchini Marekani.

  • Telegraph : Marekani imeyasaidia makundi ya wanamgambo kuipindua serikali ya Bashar al Assad

    Telegraph : Marekani imeyasaidia makundi ya wanamgambo kuipindua serikali ya Bashar al Assad

    Dec 22, 2024 00:09

    Gazeti la Telegraph linalochapishwa nchini Uingereza limesema katika ripoti yake kuwa Marekani iliwaunga mkono waasi wa Syria ili kuipindua serikali ya Bashar al Assad.

  • Onyo la Putin kuhusu kuwekwa makombora mapya ya Marekani barani Ulaya na Asia

    Onyo la Putin kuhusu kuwekwa makombora mapya ya Marekani barani Ulaya na Asia

    Dec 18, 2024 07:37

    Rais Vladimir Putin wa Russia, ametoa onyo kuhusu kuwekwa makombora ya masafa ya kati na mafupi ya Marekani barani Ulaya na Asia, akisisitiza kwamba nchi yake itatoa jibu la pande zote kwa hatua hiyo. Putin amesema, mpango wa Washington wa kuweka makombora barani Ulaya unaitia wasiwasi mkubwa Moscow.

  • Baada ya Yemen kuitwanga Tel Aviv kwa kombora la 'hypersonic, US na UK zashambulia San'aa

    Baada ya Yemen kuitwanga Tel Aviv kwa kombora la 'hypersonic, US na UK zashambulia San'aa

    Dec 17, 2024 03:46

    Siku moja baada ya vikosi vya ulinzi vya Yemen kushambulia mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel Tel Aviv kwa kombora la 'hypersonic, la Palestina 2 ndege za kivita za Marekani na Uingereza zimeshambulia maeneo kadhaa ya mji mkuu wa Yemen, Sana'a.

  • Ripoti ya kila mwaka ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu uliofanywa na Marekani na Uingereza

    Ripoti ya kila mwaka ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu uliofanywa na Marekani na Uingereza

    Dec 16, 2024 03:22

    Kwa mujibu wa ripoti ya kila mwaka ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusiana na ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa Marekani na Uingereza, ripoti ambayo imeandaliwa kwa kutelekeza mswada uliopitishwa na Bunge la Iran mwaka 1391 Hijria Shamsia,

  • Iran: Marekani imepuuza sheria za haki za binadamu kwa kuunga mkono utawala wa Kizayuni

    Iran: Marekani imepuuza sheria za haki za binadamu kwa kuunga mkono utawala wa Kizayuni

    Dec 15, 2024 07:54

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema katika ripoti yake ya kila mwaka kuwa: Marekani imepuuza sheria za kimataifa na maamuzi yote ya taasisi za haki za binadamu kwa uungaji mkono wake mkubwa na usio na kikomo kwa utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Kupitishwa maazimio mawili katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu vita vya Gaza na UNRWA

    Kupitishwa maazimio mawili katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu vita vya Gaza na UNRWA

    Dec 13, 2024 11:19

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, limepitisha kwa wingi wa kura maazimio mawili yanayotoa wito wa kusitishwa mara moja vita vya Gaza na pia kuunga mkono shughuli za Shirika la Misaada na Ajira kwa Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA).

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS