• Marekani yakiri kuwa na mkono katika matukio ya sasa nchini Syria

    Marekani yakiri kuwa na mkono katika matukio ya sasa nchini Syria

    Dec 11, 2024 04:02

    Kufuatia matukio ya sasa, ya haraka na ya ghafla ya kijeshi nchini Syria na kutekwa Damascus na makundi yenye silaha na hatimaye kuondoka madarakani Rais wa Syria Bashar al-Assad, Marekani imekiri kwamba imekuwa na nafasi katika matukio hayo.

  • Iran yapinga madai ya 'Troika ya Ulaya' kuhusu kadhia ya nyuklia

    Iran yapinga madai ya 'Troika ya Ulaya' kuhusu kadhia ya nyuklia

    Dec 04, 2024 23:27

    Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amemtumia barua Katibu Mkuu wa umoja huo na Baraza la Usalama akisema kuwa tuhuma zilizotolewa dhidi ya Tehran hazina msingi wowote na zina malengo ya kisiasa. Amir Saeid Iravani ameeleza hayo kufuatia tuhuma zilizotolewa na wawakilishi wa Troika ya Ulaya dhidi ya Tehran. Troika hiyo inajumuisha Ufaransa, Uingereza na Ujerumani.

  • Mkuu wa ICC aikosoa Marekani kwa kuingilia utendaji wa mahakama hiyo

    Mkuu wa ICC aikosoa Marekani kwa kuingilia utendaji wa mahakama hiyo

    Dec 03, 2024 03:49

    Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) ameikosoa Marekani kwa kuingilia uchunguzi wa taasisi hiyo na kuyataja mashambulizi dhidi ya mahakama hiyo kuwa ya kutisha.

  • Mashirika ya silaha ya Marekani yazidi kujitajirisha kwenye dimbwi la damu

    Mashirika ya silaha ya Marekani yazidi kujitajirisha kwenye dimbwi la damu

    Dec 02, 2024 23:20

    Takwimu za hivi karibuni kabisa zilizotolewa na taasisi ya amani ya Stockholm International Peace Research Institute (SIPRI) zinaonesha kuwa, mashirika yanayozalisha silaha duniani ambayo asilimia kubwa ni ya Marekani, yamepata faida kubwa kupindukia kwa kuuza silaha zilizoishia kumwaga damu za watu kwenye kona mbalimbali za dunia hasa barani Asia.

  • Sisitizo la Trump la kuanza duru mpya ya vita vya ushuru katika kipindi cha pili cha urais

    Sisitizo la Trump la kuanza duru mpya ya vita vya ushuru katika kipindi cha pili cha urais

    Nov 27, 2024 23:21

    Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, ametangaza kuwa katika siku yake ya kwanza akiwa Ikulu ya White House, atatoa agizo la kutozwa ushuru mpya bidhaa zote zinazoagizwa kutoka Mexico, Canada na China.

  • Venezuela yapongeza misimamo ya Iran kuhusu uingiliaji wa Washington katika masuala ya ndani ya Caracas

    Venezuela yapongeza misimamo ya Iran kuhusu uingiliaji wa Washington katika masuala ya ndani ya Caracas

    Nov 25, 2024 00:03

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Venezuela amepongeza misimamo ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kukabiliana na uingiliaji kati wa serikali ya Marekani katika masuala ya ndani ya Venezuela.

  • Kuingia vita vya Ukraine katika hatua mpya na kuzidisha mzozo kati ya Russia na NATO

    Kuingia vita vya Ukraine katika hatua mpya na kuzidisha mzozo kati ya Russia na NATO

    Nov 23, 2024 22:56

    Matukio ya hivi karibuni katika vita vya Ukraine, yaani uamuzi wa nchi za Magharibi wa kutoa ruhusa kwa Ukraine kuishambulia Russia kwa kutumia silaha za masafa marefu za Marekani na Ulaya kwa upande mmoja, na Russia kutumia w kombora jipya la masafa ya kati lenye kasi ya zaidi ya sauti dhidi ya Ukraine kama tahadhari kali kwa Magharibi, kumeibua mgogoro mkubwa na usio na kifani kati ya Russia na NATO.

  • Seneta wa Marekani aunga mkono hati ya ICC inayoamuru kukamatwa Netanyahu na Gallant

    Seneta wa Marekani aunga mkono hati ya ICC inayoamuru kukamatwa Netanyahu na Gallant

    Nov 22, 2024 04:10

    Seneta wa Marekani Bernie Sanders ameunga mkono uamuzi uliotoloewa na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC jana Alkhamisi wa kuamuru kukamatwa waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na waziri wa zamani wa vita wa utawala huo haramu Yoav Gallant.

  • Marekani yapinga tena azimio la kusitisha mapigano Gaza

    Marekani yapinga tena azimio la kusitisha mapigano Gaza

    Nov 21, 2024 07:27

    Ikiwa ni katika muendelezo wa uungaji mkono wake mkubwa kwa utawala ghasibu wa Israel, mapema siku ya Jumatano Novemba, Marekani ilipinga tena rasimu ya azimio la wanachama 10 wasio wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, lililotaka usitishaji vita wa mara moja, usio na masharti na wa kudumu huko Gaza na kuachiliwa huru mateka wote.

  • Marekani yapinga tena rasimu ya azimio la kusitisha vita, Gaza

    Marekani yapinga tena rasimu ya azimio la kusitisha vita, Gaza

    Nov 21, 2024 04:22

    Katika kuuhami na kuunga mkono utawala wa Israel, Marekani kwa mara nyingine tena imelipigia kura ya turufu azimio la nchi 10 wanachama wasio wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa zilizotaka kutekelezwa usitishwaji vita haraka iwezekanavyo, bila ya masharti na wa kudumu katika Ukanda wa Gaza na kuachiwa mateka wote.