-
Alkhamisi tarehe 14 Aprili 2022
Apr 14, 2022 02:21Leo ni Alkhamisi tarehe 12 Ramadhani 1443 Hijria sawa na Aprili 14 mwaka 2022.
-
Mchungaji UK: Uislamu uko karibu na Issa AS zaidi kuliko Ukristo
Feb 22, 2016 03:36Mchungaji mmoja nchini Uingereza amesema kuwa, mafundisho ya Kiislamu yako karibu na yale aliyoyafunza Yesu yaani Nabii Issa AS, kuliko mafundisho mengi yanayotolewa katika Makanisa ya Magharibi.