Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Mauaji ya Kimbari

  • Palestina: Silaha za Israel zimetumika kuua Waislamu na wapinzani wa mapinduzi Myanmar

    Palestina: Silaha za Israel zimetumika kuua Waislamu na wapinzani wa mapinduzi Myanmar

    Mar 04, 2021 00:45

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Palestina imeituhumu Israel kuwa inauuzia silaha utawala wa Myanmar ambazo zimetumika kuua Waislamu wa jamii ya Rohingya na vilevile kuua wapinzani wa mapinduzi ya kijeshi yaliyotokea nchini humo, licha ya marufuku ya kimataifa ya kuiuzia silaha nchi hiyo.

  • The Observer yahoji: Walikuwa wapi waandamanaji wa sasa huko Myanmar wakati wa mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu wa Rohingya?

    The Observer yahoji: Walikuwa wapi waandamanaji wa sasa huko Myanmar wakati wa mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu wa Rohingya?

    Feb 22, 2021 23:18

    Gazeti la The Observer linalochapishwa nchini Uingereza limeandika makala kuhusu maandamano makubwa yanayoendelea nchini Myanmar kupinga mapinduzi ya kijeshi yaliyoiondoa madarakani serikali iliyochaguliwa kwa njia za kidemokrasia na kuhoji kuwa, walikuwa wapi waandamanaji hao katika kipindi chote cha miaka minne ya mauaji ya kimbari yanayofanywa na jeshi la nchi hiyo likishirikiana na Mabudha wenye misimamo mikali dhdi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya?

  • Rusesabagina asema alihadaiwa na kupelekwa Rwanda badala ya Burundi

    Rusesabagina asema alihadaiwa na kupelekwa Rwanda badala ya Burundi

    Sep 18, 2020 06:11

    Paul Rusesabagina anayejulukana kama Shujaa wa filamu ya 'Hotel Rwanda' inayosimulia kisa cha mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 nchini Rwanda, anasema kuwa, aliamini alikuwa akisafiri kwenda Burundi kwa mwaliko wa mchungaji wa kanisa, lakini badala yake akahadaiwa na kupelekwa Rwanda na kukamatwa kwa tuhuma za ugaidi.

  • UN yaonya kuhusu uhalifu zaidi wa kivita dhidi ya Waislamu nchini Myanmar

    UN yaonya kuhusu uhalifu zaidi wa kivita dhidi ya Waislamu nchini Myanmar

    Sep 15, 2020 08:18

    Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kuchukuliwa hatua zaidi kutokana na ukiukaji wa haki za binadamu unaofanyika nchini Myanmar dhidi ya jamii ya Waislamu wa Rohingya.

  • Shujaa wa filamu ya 'Hotel Rwanda' afikishwa mahakamani kwa makosa ya ugaidi, mauaji

    Shujaa wa filamu ya 'Hotel Rwanda' afikishwa mahakamani kwa makosa ya ugaidi, mauaji

    Sep 14, 2020 06:57

    Shujaa wa filamu ya 'Hotel Rwanda' inayosimulia kisa cha mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 nchini Rwanda, Paul Rusesabagina, leo Jumatatu amefikishwa mahakamani mjini kigali akikabiliwa na mashtaka ya ugaidi, kufadhili ugaidi mauaji na kuteka nyara.

  • Uchunguzi wa mshukiwa wa mauaji ya kimbari Rwanda, Aloys Ntiwiragabo umeanza nchini Ufaransa

    Uchunguzi wa mshukiwa wa mauaji ya kimbari Rwanda, Aloys Ntiwiragabo umeanza nchini Ufaransa

    Jul 26, 2020 03:01

    Ufaransa imeanzisha uchunguzi kuhusu tuhuma za jinai dhidi ya binadamu zinazomkabili afisa wa zamani wa ngazi ya juu wa jeshi la Rwanda Meja Jenerali Aloys Ntiwiragabo kufuatia mauaji ya kimbari yaliyojiri nchini humo mwaka 1994.

  • Ripoti ya UN: Mauaji ya kikabila Congo DR ni jinai dhidi ya binadamu na huenda ni mauaji ya kimbari

    Ripoti ya UN: Mauaji ya kikabila Congo DR ni jinai dhidi ya binadamu na huenda ni mauaji ya kimbari

    Jan 11, 2020 23:09

    Ripoti iliyotolewa na Umoja wa Mataifa imesema kuwa mauaji, ubakaji na vitendo vingine vya kikatili vilivyofanywa na makundi hasimu ya kikaumu huko kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo yumkini vikatambuliwa kuwa ni jinai dhidi ya binadamu au hata mauaji ya kimbari.

  • Uturuki kujibu mapigo kwa kutambua kuuliwa wakazi wa asili wa Marekani kuwa ni 'mauaji ya kimbari'

    Uturuki kujibu mapigo kwa kutambua kuuliwa wakazi wa asili wa Marekani kuwa ni 'mauaji ya kimbari'

    Dec 17, 2019 09:11

    Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema, nchi yake itachukua hatua ya kuyatambua mauaji ya mamilioni ya wakazi wa asili wa Marekani kuwa ni "mauaji ya kimbari" ili kujibu mapigo kwa hatua ya karibuni iliyochukuliwa na serikali ya Washington ya kuyaelezea mauaji ya halaiki ya Waarmenia yaliyofanywa na utawala wa zamani wa Uturuki wa Dola la Othmaniya kuwa ni mauaji ya kimbari.

  • Erdogan apinga hatua ya Swedish Royal Academy kumpa Handke tuzo ya fasihi ya Nobel

    Erdogan apinga hatua ya Swedish Royal Academy kumpa Handke tuzo ya fasihi ya Nobel

    Dec 11, 2019 04:17

    Rais Recep Tayyep Erdegan wa Uturuki mepinga vikali hatua ya taasisi ya Royal Academy nchini Sweden ya kumtunuku mwandishi wa Austria, Peter Handke tuzo ya fasihi ya Nobel akisisitiza kuwa kufanya hivyo ni kuenzi na kupongeza ukiukaji wa haki za binadamu.

  • Waholanzi waandamana kupinga mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu wa Rohingya

    Waholanzi waandamana kupinga mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu wa Rohingya

    Dec 11, 2019 03:22

    Wananchi wa Uholanzi wamefanya maandamano katika mji wa Hague wakipinga mauaji ya kimbari yanayofanywa na Mabudha wenye misimamo mikali wakishirikiana na jeshi la Myanmar dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS