Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Mauaji ya Kimbari

  • Umoja wa Mataifa watahadharisha kuhusu uwezekano wa kukaririwa maangamizi ya kizazi Myanmar

    Umoja wa Mataifa watahadharisha kuhusu uwezekano wa kukaririwa maangamizi ya kizazi Myanmar

    Mar 14, 2018 10:51

    Mshauri Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika kuzuia maangamizi ya kizazi ametahadharisha kuwa serikali ya Myanmar inataka kutekeleza mauaji mengine ya kizazi dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya katika mkoa wa Rakhine magharibi mwa nchi hiyo.

  • Mshindi wa zawadi ya amani ya Nobel ashangaa kutoshtakiwa Bin Salman na Al Nahyan

    Mshindi wa zawadi ya amani ya Nobel ashangaa kutoshtakiwa Bin Salman na Al Nahyan

    Feb 03, 2018 04:50

    Bi Tawakkol Karman, mshindi wa zawadi ya amani ya Nobel wa nchini Yemen amesisitizia umuhimu wa kushtakiwa kimataifa Mohammad Bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme nchini Saudia na Mohammed bin Zayed Al Nahyan, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Abu Dhabi kutokana na jinai zao za mauaji ya umati nchini Yemen.

  • Jumanne 21 Novemba, 2017

    Jumanne 21 Novemba, 2017

    Nov 20, 2017 23:18

    Leo ni Jumanne tarehe Pili Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1439 Hijria sawa na tarehe 21 Novemba mwaka 2017.

  • UN yatahadharisha kuhusu hatari ya kutokea mauaji ya kimbari CAR

    UN yatahadharisha kuhusu hatari ya kutokea mauaji ya kimbari CAR

    Oct 13, 2017 00:17

    Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuhusiana na hatari ya kutokea mauaji ya kimbari katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.

  • Gazeti la Haaretz lakiri nafasi ya Israel katika mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu wa Myanmar

    Gazeti la Haaretz lakiri nafasi ya Israel katika mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu wa Myanmar

    Oct 02, 2017 10:48

    Gazeti la Kizayuni la Haaretz limeandika kuwa, utawala haramu wa Israel una nafasi katika mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu Warohingya wa Myanmar yanayoendelea kufanywa na jeshi la nchi hiyo likishirikiana na Mabudha wenye misimamo mikali.

  • Mahakama ya kimataifa Malaysi yatoa hukumu dhidi ya viongozi wauaji wa Myanmar

    Mahakama ya kimataifa Malaysi yatoa hukumu dhidi ya viongozi wauaji wa Myanmar

    Sep 23, 2017 12:13

    Mahakama ya Kimataifa ya Kudumu ya Watu wa Malaysia imetoa hukumu dhidi ya serikali ya Myanmar kutokana na kutenda jinai za mauaji ya halaiki dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya.

  • Ayatullah Larijani: Mauaji ya Waislamu wa Myanmar ni mfano wa wazi wa maangamizi ya kizazi

    Ayatullah Larijani: Mauaji ya Waislamu wa Myanmar ni mfano wa wazi wa maangamizi ya kizazi

    Sep 18, 2017 23:52

    Mkuu wa Idara ya Mahakama Nchini Iran amesema kuwa mashambulizi na utumiaji mabavu dhidi ya Waislamu wa Myanmar ni mfano wa wazi wa maangamizi ya kizazi na jinai dhidi ya binadamu.

  • Umoja wa Mataifa watahadharisha juu ya uwezekano wa kutokea mauaji ya kimbari CAR

    Umoja wa Mataifa watahadharisha juu ya uwezekano wa kutokea mauaji ya kimbari CAR

    Aug 23, 2017 22:05

    Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia masuala ya kibinadamu ametahadharisha kuhusiana na kuweko ishara za kutokea mauaji ya kimbari katika Jamhuri ya Afrika ya Kati ambayo inakabiliwa na machafuko.

  • Nyaraka mpya zafichua nafasi ya Ufaransa katika mauaji ya kimbari ya Rwanda

    Nyaraka mpya zafichua nafasi ya Ufaransa katika mauaji ya kimbari ya Rwanda

    Jul 01, 2017 08:35

    Nyaraka mpya za kihistoria zilizochapishwa hivi karibuni kwa mara nyingine tena zimethibitisha nafasi ya Ufaransa katika mauaji ya kimbari ya Rwanda baada ya kupita miaka 23 tangu kutekelezwa mauaji hayo.

  • Uingereza: Machafuko ya Sudan Kusini ni sawa na mauaji ya kimbari

    Uingereza: Machafuko ya Sudan Kusini ni sawa na mauaji ya kimbari

    Apr 14, 2017 03:48

    Waziri wa Serikali ya Uingereza amesema kuwa mauaji yaliyoyalenga makundi maalumu ya kikabila huko Sudan Kusini na kusababisha vita vya ndani nchini humo mwaka 2013, ni sawa na mauaji ya kimbari.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS