-
Kermani: Marekani imekiuka mapatano ya nyuklia na Iran
Apr 22, 2016 15:38Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya Tehran amesema hatua za hivi karibuni za Marekani dhidi ya Iran ni ukiukwaji wa wazi wa mapatano ya nyuklia baina ya Iran na madola sita makubwa duniani.