-
Wapalestina watakiwa wajitokeze kwa wingi katika kumbukumbu ya kuchomwa moto Msikiti wa Al Aqsa
Aug 20, 2021 08:06Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imetoa mwito kwa Wapalestina kujitokeza kwa wingi katika maandamano ya kukumbuka tukio la kuchomwa moto msikiti wa Al Aqsa.
-
Jihad Islami: Tutailinda al Aqsa kwa nguvu zote
Jul 20, 2021 07:42Harakati ya Jihad Islami ya Palestina imetoa tamko kuhusu hujuma iliyofanywa na Wazayuni wa Israel dhidi ya Msikiti wa al Aqsa katika Siku ya Arafa na kutangaza kuwa, vita vya Panga la Quds bado havijaisha na taifa la Palestina liko tayari kulinda eneo hilo takatifu.
-
Ndege zisizo na rubani za utawala wa Kizayuni zimeonekana katika anga ya msikiti wa al Aqsa
Jul 19, 2021 11:31Vyombo vya habari vimeripoti kuwa, ndege zisizo na rubani za Israel zimeonekana katika anga ya msikiti mtakatifu wa al Aqsa.
-
Hamas: Msikiti wa al-Aqsa utakombolewa karibuni hivi
Jun 21, 2021 02:54Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema taifa la Palestina karibuni hivi litaukomboa Msikiti mtukufu wa al-Aqsa, huko Baitul Muqaddas inayokaliwa kwa mabavu.
-
Sayyid Nasrullah: Bila shaka sote tutaswali katika Msikiti wa al-Aqsa
Jun 09, 2021 08:17Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema hakuna chembe ya shaka kuwa Waislamu wote karibuni hivi wataibuka washindi mkabala wa Wazayuni na waitifaki wao, na hatimaye watatekeleza ibada ya Swala katika Msikiti mtukufu wa al-Aqsa, huko Baitul Muqaddas inayokaliwa kwa mabavu.
-
Kambi ya muqawama haitaruhusu kuvunjiwa heshima al-Aqsa
Jun 08, 2021 02:47Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Jihad Islami ya Palestina amesema wananchi wa Palestina na kambi ya muqawama katu hawataruhusu kuvunjiwa heshima Masjidul Aqsa.
-
Hamas yaonya kuhusu hujuma yoyote ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Msikiti wa al Aqsa
Jun 07, 2021 02:29Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) katika Ukanda wa Ghaza ametoa tamko baada ya kubainika kuwa Wazayuni wanapanga kufanya shambulio jingine dhidi ya Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds ambao ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu.
-
Jumatatu tarehe 7 Juni 2021
Jun 07, 2021 02:28Leo ni Jumatatu tarehe 26 Shawwal 1442 Hijriia sawa na tarehe 7 Juni mwaka 2021.
-
Jordan yalaani uvamizi mpya wa utawala wa Kizayuni katika Msikiti wa al Aqsa
May 24, 2021 02:31Wizara ya Mambo ya Nje ya Jordan imelaani uvamizi mpya wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Msikiti wa al Aqsa na hatua ya utawala huo ya kuwatia nguvuni wafanyazi wa Idara ya Waqfu ya Quds.
-
Hania: Mashahidi wa Palestina wamethibitisha kuwa Quds ni mstari mwekundu
May 22, 2021 06:38Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amegusia jinsi Wapalestina walivyouliwa shahidi na Wazayuni katika vita vya Quds na kusisitiza kuwa, mashahidi hao wamewathibitisha watu wote kwamba Quds na Msikiti wa al Aqsa ni mstari mwekundu kwa taifa hilo na umma wote wa Kiislamu.