-
Madai ya serikali ya Msumbiji kuhusu usiri katika deni la nchi hiyo
Apr 29, 2016 23:43Waziri Mkuu wa Msumbiji amesema kuwa, machafuko nchini humo ndiyo sababu kuu iliyoifanya serikali kuamua kuficha habari kuhusu deni la dola bilioni moja na laki nne la nchi hiyo kwa Mfuko wa Fedha wa Kimataifa IMF.
-
Jeshi la Msumbiji latuhumiwa kujihusha na vitendo vya mauaji na ubakaji
Jan 27, 2016 10:10Jeshi la Msumbiji linatuhumiwa kuhusika na vitendo vya mauaji na ubakaji dhidi ya raia.